Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali itaendelea kusimamia miradi ya kimakatakati ili kuwahudumia Watanzania


Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dodoma
Serikali itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kusimamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati ili taifa liendelee kusonga mbele katika sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. 
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.
Miradi ambayo wizara itaendelea kuisimamia ni pamoja na kuendeleza na kutekeleza shughuli za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UNDP “yaipiga jeki” Serikali namna ya kuandaa, kujadili na kusimamia miradi mikubwa na mikataba ya gesi asilia Nchini

Picha ya pamoja ya washiriki wa Warsha ya kujenga uwezo kwa maafisa wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali. Kutoka kushoto (waliokaa) ni Bw. Styden Rwebangila kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Bi.Anna Shakarova ambaye ni Mkurugenzi wa Program wa Maendeleo ya Kiuchumi, Bw. Yohane Masara –Kaimu Mkurugenzi,Divisheni ya Mikataba kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(katikati),Bw.Steven Sparling na Bi Clare Power kutoka Kampuni ya Uwakili ya K&L Gates ambao ni wawezeshaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya Wanawake kuwahudumia watanzania wa Disapora

BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) imeanziasha utaratibu au hudama wa kibenki ambayo itawawezesha wanawake wa Kitanzania wa Diaspora (wanaoishi ughaibuni)  kuchangia katika shughuli mbalimbali za kijamii na uchumi hapa nchini.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bi. Margareth Chacha,aliwaambia waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuwa hivi karibuni wanawake waishio Washington, Virginia and Maryland (DMV) walituma mwaliko kwa benki yake kwenda kuwaelezea ninamna gani watanufaika endapo...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IKO IMARA KUWAHUDUMIA WANANCHI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano iko imara na inamipango madhubuti ya kuwahudumia na kuwatumikia Watanzania katika maeneo yote nchini.
Ili kutimiza adhima hiyo, Waziri Mkuu amepiga marufuku kitendo cha watumishi wa umma kumaliza wiki wakiwa maofisini na badala yake amewataka watumie siku nne kwenda kwa wananchi katika maeneo yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni  (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha yafanikiwa kusimamia miradi ya maendeleo nchini

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Na Mwandishi wetu – Hazina

Dhana ya kukua katika maisha ya jamii inahusisha mtu, Wizara, Idara naTaasisi mbalimbali zinazounda jumuiya ya watu au taifa fulani.

Ni ukweli usiopingika kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekua na kufikisha umri wa nusu karne ambapo Aprili 26 mwaka huu wa 2014 inajivunia kufikisha miaka 50 tangu kuasisiwa kwake (1964- 2014).

Sherehe za Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

 

11 years ago

Mwananchi

Chenge: Serikali itaendelea kukopa

Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya kusomwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15, mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge amesema Serikali haina fedha na ni lazima itegemee misaada kutoka nchi wahisani na kukopa ili kutekeleza bajeti hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

JK: Serikali itaendelea kuboresha hospitali

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imesema itaendelea kuboresha sekta ya afya nchini kwa kuboresha zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, rufaa na vyuo vinavyotoa taaluma ya uuguzi na udaktari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkuya: Serikali itaendelea kukopa

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, amesema serikali  itaendelea kukopa  licha ya deni la taifa kuongezeka, lengo lilikwa ni kufungua fursa za kiuchumi zaidi. Pia ameelezea sababu  za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani