Benki ya Wanawake kuwahudumia watanzania wa Disapora
![](http://1.bp.blogspot.com/-uf_FNEsT7Ac/U3hpNt_eq-I/AAAAAAAFjaM/S69zkimJzmc/s72-c/Kk7Rs4DHaEXKOr1iZbsLZ4mNHLeN_sx-5fCVhhiOjp0.jpg)
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) imeanziasha utaratibu au hudama wa kibenki ambayo itawawezesha wanawake wa Kitanzania wa Diaspora (wanaoishi ughaibuni) kuchangia katika shughuli mbalimbali za kijamii na uchumi hapa nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bi. Margareth Chacha,aliwaambia waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuwa hivi karibuni wanawake waishio Washington, Virginia and Maryland (DMV) walituma mwaliko kwa benki yake kwenda kuwaelezea ninamna gani watanufaika endapo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cARgfkA64bY/Xm-PhqHteCI/AAAAAAAC8og/9W8NT55xvNUQV9CLoZI1Rs5uQGe8Ddo9ACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali itaendelea kusimamia miradi ya kimakatakati ili kuwahudumia Watanzania
Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dodoma
Serikali itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kusimamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati ili taifa liendelee kusonga mbele katika sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.
Miradi ambayo wizara itaendelea kuisimamia ni pamoja na kuendeleza na kutekeleza shughuli za...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Benki ya Wanawake yazidi kujitanua
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB), imeendelea kufungua matawi ya benki yake mikoani, ili kuhakikisha huduma bora za fedha wananchi wengi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa tawi jipya Makambako, Mkoa wa Njombe...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Benki kuwakomboa wanawake nchini
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Benki ya BOA kunufaisha watanzania
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mbunge ataka Benki ya Wanawake Pemba
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itapeleka Benki ya Wanawake katika mikoa ya Pemba, ili nao waweze kunufaika na benki hiyo. Msabaha...
10 years ago
Habarileo18 Nov
Serikali yabanwa ukaguzi Benki ya Wanawake
WABUNGE jana waliibana Serikali wakidai kuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), fedha zake hazijakaguliwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), tangu kuanzishwa kwake.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tff3qfB8xSQ/U2YlIRzztvI/AAAAAAAFfQY/HPo8dKAYFLE/s72-c/001+NBC.jpg)
MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM
![](http://4.bp.blogspot.com/-tff3qfB8xSQ/U2YlIRzztvI/AAAAAAAFfQY/HPo8dKAYFLE/s1600/001+NBC.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-JQDO-IAvEB4/U2YlL3DUjwI/AAAAAAAFfQg/1PO78W9YBJI/s1600/002+NBC.jpg)