Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake

Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.

Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.

 Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MWAKALEBELA AWATAKA WAJASILIAMALI IRINGA KUEPUKA MATAPELI KATIKA MIKOPO YA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA

Wanawake  wajasiliamali mjini Iringa  wakipewa maelekezo kutoka  mkurugenzi   mtendaji  wa kampuni ya ujasiliamali nchini  ya VANNEDRICK (T) Ltd Fredrick Mwakalebela (kulia)  wakati wa  semina  hiyo  inayoendelea katika ukumbi wa maendeleo ya jamii mjini Iringa Mwakalebela  katikati akiwa na wakufunzi wa mafunzo ya ujasiliamali wanaopaswa kupewa mikopo ya benki ya wanawake Tanzania Mwakalebela katikati akitoa maelekezo kwa  wajasiliama mali wanaohitaji mikopo ya benki ya wanawake...

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE HANANG' WANUFAIKA NA MRADI WA KILIMO KUTOKA SHIRIKA LA OXFAM & UCRT



Felista Giyam mhasibu wa kikundi cha hamasa ameiomba serikali kuona uwezekano wa kutafuta masoko kwa mazao ya wakulima kwani wamekuwa wakilima kwa muda mrefu lakini wanakosa masoko hivyo kuwakatisha tamaa licha ya kukiri kuwa wamekuwa na faida kwa wastani japo soko linaendelea kuwa kikwazo licha ya kwamba pia wakulima wamekuwa wakitumia gharama kubwa katika pembejeo za kilimo

Anna Iselu mbaye ni mhasibu wa kikundi cha wanawake na vijana cha Gosanga anasema mradi huo utawafanya kutokuonekana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake na wanaume walumbana Saudia

Wasaudi wamekuwa wakilumbana kwenye mtandao baada ya wengi wao kujitokeza kuchangia ujumbe huu na nukuu " Don't marry a Saudi man", yaani ole wako uolewe na Msaudi.

 

10 years ago

Habarileo

Pengo la wanawake, wanaume lapaa

Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi KATIKA kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, pengo la jinsia kati ya wanawake na wanaume linazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya maprofesa wanawake waliopo nchini.

 

11 years ago

Habarileo

'Wanaume waungeni mkono wanawake'

KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanaume wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika shughuli zao kwani kwa kufanya hivyo ni chachu ya kukuza uchumi na kuongeza maendeleo ya familia na hata ya taifa kwa ujumla.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria

Wanawake 20 na wanaume watatu wametekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani