Pengo la wanawake, wanaume lapaa
KATIKA kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, pengo la jinsia kati ya wanawake na wanaume linazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya maprofesa wanawake waliopo nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Wanawake na wanaume walumbana Saudia
11 years ago
Habarileo06 Mar
'Wanaume waungeni mkono wanawake'
KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanaume wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika shughuli zao kwani kwa kufanya hivyo ni chachu ya kukuza uchumi na kuongeza maendeleo ya familia na hata ya taifa kwa ujumla.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzdh115kuj8PGKviYSrgzZ*ADE4YbS1ny8dheqTtABciP916tOJnTXYW-phXv-UAyNSRTEf3iZKjC3ZT7AIoUQi3/mahaba.jpg)
MAKOSA YA WANAWAKE, WANAUME KATIKA KURIDHISHANA
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
DK. MANDAI: Ngiri huwapata wanawake na wanaume
NGIRI ni ugonjwa ambao unaweza kumpata mtu wa jinsia yoyote na rika lolote awe mtoto au mtu mzima. Wakati ikidhaniwa kwamba ugonjwa huu huwapata zaidi wanaume, hata wanawake huwapata pia...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Wanawake kutonyonyesha, wanaume walaumiwe pia
10 years ago
Vijimambo27 Dec
AINA 10 ZA WANAWAKE WANAOPENDWA NA SANA NA WANAUME
![](http://raha.mipasho.com/wp-content/uploads/sites/4/2014/10/Didi-ekanem-0.jpg)