Wanawake na wanaume walumbana Saudia
Wasaudi wamekuwa wakilumbana kwenye mtandao baada ya wengi wao kujitokeza kuchangia ujumbe huu na nukuu " Don't marry a Saudi man", yaani ole wako uolewe na Msaudi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Shabiki mwanamke awakera wanaume Saudia
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...
10 years ago
BBCSwahili27 Oct
wanawake wa Saudia waamua
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Wanawake madereva Saudia mashakani
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Wanawake wapiga kura mara ya kwanza Saudia
10 years ago
Habarileo05 Mar
Pengo la wanawake, wanaume lapaa
KATIKA kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, pengo la jinsia kati ya wanawake na wanaume linazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya maprofesa wanawake waliopo nchini.
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria
11 years ago
Habarileo06 Mar
'Wanaume waungeni mkono wanawake'
KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanaume wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika shughuli zao kwani kwa kufanya hivyo ni chachu ya kukuza uchumi na kuongeza maendeleo ya familia na hata ya taifa kwa ujumla.