Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wanawake wa Saudia waamua

Harakati za kutetea haki za wanawake nchini Saudi Arabia kutaka na wao wapewe haki ya kuendesha magari kama wanaume zashika kasi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wanawake waliopona Fistula CCBRT waamua kujiajiri

Bi. Kwenge Charles anayeshona( kushoto ) mmoja wa mabinti wanaopatiwa mafunzo ya kujitegemeaa katika kituo cha “Mabinti”akijadiliana jambo na maofisa toka Vodocom Tanzania Gloria Mtui na Veronica Rovegno (kulia) wakati Maafisa hao walipowatembelea kituo hicho kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam , kituo kinafadhiliwa na Vodacom Foundation na kinalenga mabinti waliotibiwa ugonjwa wa Fistula na kupona katika hospitali ya CCRBT. Baadhi ya wanawake wa kituo cha”Mabinti” waliotibiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WALIOPONA FISTULA CCBRT WAAMUA KUJIAJIR

 Mratibu wa Kituo cha Mabinti centre cha mikocheni jijini Dar es Salaam Bi. Katia Geurts(kulia) akimwelezea jambo Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(katikati) na waandishi wa habari jinsi kazi za ushonaji zinazofanywa na baadhi ya wakina mama waliotibiwa na kupona  fistula wakati walipotembelea kituo hicho na kujionea miradi mbalimbalia inayofadhiliwa na Vodacom Foundation,Mabinti hao wanapata elimu ya kazi za mikono mara baada ya matibabu katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake na wanaume walumbana Saudia

Wasaudi wamekuwa wakilumbana kwenye mtandao baada ya wengi wao kujitokeza kuchangia ujumbe huu na nukuu " Don't marry a Saudi man", yaani ole wako uolewe na Msaudi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake madereva Saudia mashakani

Mahakama ya ugaidi kusikiliza kesi ya wanawake wawili waliokiuka sheria za kuendesha magari Saudia

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake wapiga kura mara ya kwanza Saudia

Wapiga kura nchini Saudi Arabia wanashiriki kwenye uchaguzi wa manispaa ambao pia ndio wa kwanza kwa wanawake kukubaliwa kupiga kura.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Rwanda waamua

Raia wa Rwanda wamepiga kura ya maoni kufanyia marekebisho katiba itakayomruhusu Rais Paul Kagame kugombea Urais kwa awamu ya tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagiriki waamua kuhusu madeni yao

Mamilioni wa raia nchini Ugiriki wanapiga kura ya maamuzi kuhusu iwapo watakubali ama kukataa masharti yaliowekwa na wakopeshaji ili kulipa deni wanalodaiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waamua wakifa ubongo wao ufanyiwe tafiti

Mcheza mpira wa mikono nchini Marekani Steve Weatherford na msakata kabumbu wa ligi ya taifa ya ya NFLRice wameamua kiume.

 

11 years ago

Mwananchi

Kaya 50 zachomewa nyumba, watu 2,000 waamua kuzihukumu

Kaya zaidi ya 50 za Kijiji cha Kansay, Wilaya ya Karatu, hazina mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kuchomwa moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani