Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waamua wakifa ubongo wao ufanyiwe tafiti

Mcheza mpira wa mikono nchini Marekani Steve Weatherford na msakata kabumbu wa ligi ya taifa ya ya NFLRice wameamua kiume.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watoto wasimulia walivyoshuhudia wenzao wakifa maji

>Ilikuwa ni safari ya kawaida ambayo ilitarajiwa kuwapa faraja watoto. Lakini hali imekuwa tofauti baada ya matarajio hayo kugeuka majonzi kwa mtaa mzima kutokana na kuondokewa na watoto watatu kwa wakati mmoja.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada wa makandarasi ufanyiwe marekebisho -CUF

MWAKILISHI wa jimbo la Ole kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Hamad Masoud ameitaka Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati kuifanyia marekebisho miswada mitatu iliopo chini ya Wizara hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda huu kuhusu wauza ‘unga’ ufanyiwe kazi

Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, Watanzania wamekuwa wenyeji wa mgeni ambaye ujio wake nchini umekuwa wa aina yake.

 

10 years ago

GPL

UKICHUNIWA SHIDA! UKIPENDWA KARAHA, UFANYIWE LIPI SASA?

Mpenzi msomaji ni Jumatatu nyingine murua tunakutana kwenye elimu mpya ya mapenzi.
Shukrani za dhati ziwafikie wasomaji na wafuatiliaji wa XXlove waliotuma maoni yao wiki iliyopita kuhusu mada zetu.
Leo tunajadili kuhusu wapenzi ambao wakipendwa hawapendeki. Wasipopendwa wananung’unika na kuwafanya wapenzi wao wawe njia panda. Nianze kwa kuuliza; hivi mapenzi ni kitu gani hasa, kwani mtu asipopendwa utasikia...

 

10 years ago

BBCSwahili

wanawake wa Saudia waamua

Harakati za kutetea haki za wanawake nchini Saudi Arabia kutaka na wao wapewe haki ya kuendesha magari kama wanaume zashika kasi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Rwanda waamua

Raia wa Rwanda wamepiga kura ya maoni kufanyia marekebisho katiba itakayomruhusu Rais Paul Kagame kugombea Urais kwa awamu ya tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagiriki waamua kuhusu madeni yao

Mamilioni wa raia nchini Ugiriki wanapiga kura ya maamuzi kuhusu iwapo watakubali ama kukataa masharti yaliowekwa na wakopeshaji ili kulipa deni wanalodaiwa.

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake waliopona Fistula CCBRT waamua kujiajiri

Bi. Kwenge Charles anayeshona( kushoto ) mmoja wa mabinti wanaopatiwa mafunzo ya kujitegemeaa katika kituo cha “Mabinti”akijadiliana jambo na maofisa toka Vodocom Tanzania Gloria Mtui na Veronica Rovegno (kulia) wakati Maafisa hao walipowatembelea kituo hicho kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam , kituo kinafadhiliwa na Vodacom Foundation na kinalenga mabinti waliotibiwa ugonjwa wa Fistula na kupona katika hospitali ya CCRBT. Baadhi ya wanawake wa kituo cha”Mabinti” waliotibiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WALIOPONA FISTULA CCBRT WAAMUA KUJIAJIR

 Mratibu wa Kituo cha Mabinti centre cha mikocheni jijini Dar es Salaam Bi. Katia Geurts(kulia) akimwelezea jambo Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(katikati) na waandishi wa habari jinsi kazi za ushonaji zinazofanywa na baadhi ya wakina mama waliotibiwa na kupona  fistula wakati walipotembelea kituo hicho na kujionea miradi mbalimbalia inayofadhiliwa na Vodacom Foundation,Mabinti hao wanapata elimu ya kazi za mikono mara baada ya matibabu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani