UKICHUNIWA SHIDA! UKIPENDWA KARAHA, UFANYIWE LIPI SASA?
![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KqRhmT1LLD72iPdgCjrN*smv2qtq*ZQijZHvdRB6x6upqeyRuLhUHaZNq2qRxAnNU0pbLRYxzzwYKHmJTc0rty/couple85620250.jpg?width=650)
Mpenzi msomaji ni Jumatatu nyingine murua tunakutana kwenye elimu mpya ya mapenzi. Shukrani za dhati ziwafikie wasomaji na wafuatiliaji wa XXlove waliotuma maoni yao wiki iliyopita kuhusu mada zetu. Leo tunajadili kuhusu wapenzi ambao wakipendwa hawapendeki. Wasipopendwa wananung’unika na kuwafanya wapenzi wao wawe njia panda. Nianze kwa kuuliza; hivi mapenzi ni kitu gani hasa, kwani mtu asipopendwa utasikia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwNdQrWzCLQt95u0Df1-6PCPkQvEr-sdBz65CVaqkmTse7iumbFZvQQf1zHaakfATu2Boq3PXhicy-7TULCQUMSw/ndoa.jpg)
NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s72-c/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s1600/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Muswada wa makandarasi ufanyiwe marekebisho -CUF
MWAKILISHI wa jimbo la Ole kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Hamad Masoud ameitaka Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati kuifanyia marekebisho miswada mitatu iliopo chini ya Wizara hiyo.
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Waamua wakifa ubongo wao ufanyiwe tafiti
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Ushuhuda huu kuhusu wauza ‘unga’ ufanyiwe kazi
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Kulazimishwa kujiuzulu kunapongezwa kwa lipi?
OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyogeuka kashfa kubwa nchini, imewaacha mawaziri wanne wakipoteza nyadhifa zao. Kati ya mawaziri hao wanne, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki; Ulinzi na Jeshi la...
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Kikwete atakapong’atuka, atakumbukwa kwa lipi?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydXq6Sp22mzwYfDZkAzLdybMq35S22KBh809F8W7xUtXw5fRqTzv3zQ--oe9AT-lp3ULx0t2XYXfZLoHLdvNa1ZG/lissu.jpg?width=650)
TUNDU LISSU: TUMUUE ZITTO KWA LIPI?
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Polisi Moro, Ndanda FC na Stand Utd zinakuja na lipi?
TIMU tatu zitakazochukua nafasi ya zitakazoshuka Ligi Kuu msimu huu, zimeshajulikana baada ya kufanya kweli katika Ligi Daraja la Kwanza. Hizo ni Polisi Morogoro iliyorejea Ligi Kuu ambapo tayari imepanda...