Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Moro, Ndanda FC na Stand Utd zinakuja na lipi?

TIMU tatu zitakazochukua nafasi ya zitakazoshuka Ligi Kuu msimu huu, zimeshajulikana baada ya kufanya kweli katika Ligi Daraja la Kwanza. Hizo ni Polisi Morogoro iliyorejea Ligi Kuu ambapo tayari imepanda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ndanda FC waitisha Stand United

TIMU ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara imesema kipigo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka kwa Azam Alhamisi wiki iliyopita kimewapa changamoto ya kujipanga vizuri zaidi kwa michezo ijayo ikianzia leo dhidi ya Stand United.

 

11 years ago

Mwananchi

Stand Utd safi

Timu ya Stand United imepata udhamini wa Sh50 milioni  kutoka Kampuni ya Double Star Tire.

 

9 years ago

Habarileo

Mtibwa yaifuata Stand Utd

MTIBWA Sugar wameifuata Stand United ya Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi utakaochezwa keshokutwa. Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kwa ajili ya kusaka ushindi wa kwanza utakaoziweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.

 

10 years ago

Habarileo

Liewing afurahia wakongwe Stand Utd

KOCHA wa Stand United, Patrick Liewig amefurahia kuwepo kwa Masoud Nassoro, Haroun Chanongo na Amri Kiemba kwenye kikosi chake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stand Utd kuanika vifaa vyake Agosti 4

TIMU ya Stand United ya Shinyanga, imeandaa tamasha maalum litakalojulikana kama ‘Stand United Day’ litakalofanyika Agosti 4,  kutambulisha nyota wapya kuelekea Ligi Kuu Tanzania bara. Hesabu za timu hiyo, ni...

 

10 years ago

TheCitizen

Stand Utd target survival after Simba victory

After edging giants Simba SC 1-0 in the Vodacom Premier League, Stand United FC head coach Matia Lule says he is proud of his charges and now targets to save them from the drop.

 

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi Moro yanyukwa nyumbani

Polisi Moro SC imedondokea pua baada ya kukubali kukung’utwa bao 1-0 na Kurugenzi Mufindi FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri mkoani hapa juzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Moro yapata viongozi

Polisi Moro SC imemchagua Zuberi Chembera kuwa mwenyekiti atakayeongoza klabu hiyo kwa miaka minne ijayo katika uchaguzi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Morogoro juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani