Stand Utd safi
Timu ya Stand United imepata udhamini wa Sh50 milioni kutoka Kampuni ya Double Star Tire.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Sep
Mtibwa yaifuata Stand Utd
MTIBWA Sugar wameifuata Stand United ya Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi utakaochezwa keshokutwa. Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kwa ajili ya kusaka ushindi wa kwanza utakaoziweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
10 years ago
Habarileo09 Aug
Liewing afurahia wakongwe Stand Utd
KOCHA wa Stand United, Patrick Liewig amefurahia kuwepo kwa Masoud Nassoro, Haroun Chanongo na Amri Kiemba kwenye kikosi chake.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Stand Utd kuanika vifaa vyake Agosti 4
TIMU ya Stand United ya Shinyanga, imeandaa tamasha maalum litakalojulikana kama ‘Stand United Day’ litakalofanyika Agosti 4, kutambulisha nyota wapya kuelekea Ligi Kuu Tanzania bara. Hesabu za timu hiyo, ni...
10 years ago
TheCitizen24 Feb
Stand Utd target survival after Simba victory
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Polisi Moro, Ndanda FC na Stand Utd zinakuja na lipi?
TIMU tatu zitakazochukua nafasi ya zitakazoshuka Ligi Kuu msimu huu, zimeshajulikana baada ya kufanya kweli katika Ligi Daraja la Kwanza. Hizo ni Polisi Morogoro iliyorejea Ligi Kuu ambapo tayari imepanda...