Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Moro yapata viongozi

Polisi Moro SC imemchagua Zuberi Chembera kuwa mwenyekiti atakayeongoza klabu hiyo kwa miaka minne ijayo katika uchaguzi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Morogoro juzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

KACU yapata viongozi wapya

CHAMA Kikuu cha Ushirika wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga (KACU), kimepata viongozi wapya wa Bodi huku mjumbe mmoja akitaka kujivua madaraka hayo ya ujumbe baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chaumma yapata viongozi wapya

MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chaumma), Hashim Sipunda, amesema hana imani na Tume ya Uchaguzi, hivyo kuomba kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatenda haki. Sipunda alitoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAHLISO yapata viongozi wapya

JUMUIA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imepata uongozi mpya. Katika uchaguzi huo Musa Mudede, Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bugando cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Ukonga yapata viongozi wapya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam kimepata viongozi wapya baada ya uchaguzi uliyofanyika hivi karibuni. Viongozi wapya waliyochaguliwa ni pamoja na Thomas Nyahende...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Kigoma yapata viongozi wapya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Kigoma kimepata viongozi wapya ngazi ya Mkoa na Wilaya katika uchaguzi uliyofanyika jana. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni...

 

9 years ago

Michuzi

TASO YAPATA VIONGOZI WAPYA WA TAIFA

Moja ya vyama muhimu katika kuleta mapinduzi ya Kilimo Nchini Tanzania ni Tanzania Agricultural Organisation (TASO). Pamoja na majukumu mengine, TASO ndio wamiliki na wasimamiaji wamaonyesho ya nanenane Nchini Tanzania. 

Hadi sasa TASO ina viwanja vitano vya maonyesho ya nanenane kwenye kanda za Kaskazini-Arusha, kandayalati –Dodoma, Mashariki – Morogoro, NyandazaJuu –Mbeya na Kanda ya Kusini – Lindi. Mfumo wa utendaji wa TASO umeanzia kwenye Kata, Wilaya, Mkoa, Kanda naTaifa. 
Juhudi...

 

10 years ago

Michuzi

Kamisheni ya Wanariadha yapata viongozi wapya

KAMISHENI ya Wachezaji wa Riadha, imepata viongozi wapya watakaoiongoza kwa miaka minne katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa shule ya Filbert Bayi, Mkuza Kibaha mkoani Pwani.
Kuundwa kwa Kamisheni za wachezaji kunatokana na agizo la Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC), ambako Bara la Afrika kupitia Anoca, iliagiza wanachama wake kutekeleza.
Lakini licha ya agizo hilo kutolewa, vyama na mashirikisho mengi yameshindwa kusimamia uanzishwaji wa Kamisheni hizo, ambazo ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Temeke yapata viongozi wapya

BERNAD Mwakyembe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Temeke, baada ya kumshinda mwenyekiti wa zamani Yona Patrick, katika uchaguzi wa kikatiba uliofanyika jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani