Ndanda FC waitisha Stand United
TIMU ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara imesema kipigo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka kwa Azam Alhamisi wiki iliyopita kimewapa changamoto ya kujipanga vizuri zaidi kwa michezo ijayo ikianzia leo dhidi ya Stand United.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Polisi Moro, Ndanda FC na Stand Utd zinakuja na lipi?
TIMU tatu zitakazochukua nafasi ya zitakazoshuka Ligi Kuu msimu huu, zimeshajulikana baada ya kufanya kweli katika Ligi Daraja la Kwanza. Hizo ni Polisi Morogoro iliyorejea Ligi Kuu ambapo tayari imepanda...
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Mbwembwe za Stand United
Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.
9 years ago
TheCitizen30 Dec
Maguri to leave Stand United
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Liewig aibukia Stand United
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Ni Mwadui FC au Stand United leo
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2nA5zGlSVUI/VEwAaWYqKdI/AAAAAAAASs8/J69n3iwsDO4/s72-c/IMG-20141025-WA088(1).jpg)
MBWEMBWE ZA TIMU YA STAND UNITED
![](http://3.bp.blogspot.com/-2nA5zGlSVUI/VEwAaWYqKdI/AAAAAAAASs8/J69n3iwsDO4/s1600/IMG-20141025-WA088(1).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-JI2rJX5ULKE/VV8mpZV6K8I/AAAAAAAA96w/i--9j8SCPLY/s72-c/MPIRA.jpg)
TAARIFA KUTOKA STAND UNITED FC
![](http://1.bp.blogspot.com/-JI2rJX5ULKE/VV8mpZV6K8I/AAAAAAAA96w/i--9j8SCPLY/s320/MPIRA.jpg)
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015.
Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia.
Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki katika...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Nonga aikosakosa Stand United
Paul Nonga
Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KAMA zari kwa Stand United, kwani yule mbaya wao Paul Nonga aliyesajiliwa na Yanga hatokuwepo katika mchezo wa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Nonga amesajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh milioni 40, lakini ameuomba ruhusa uongozi wa timu yake mpya akamalize mambo yake kisha ajiunge rasmi na timu hiyo.
Katika mchezo wake wa mwisho akiichezea Mwadui FC, Nonga alifunga bao moja lililoiwezesha timu hiyo...
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
‘Mkwanja’ waitia wazimu Stand United
BAADA ya kuingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya madini Acacia Mining, uongozi wa timu ya Stand United ya Shinyanga, umesema una fedha za kumsajili mchezaji yeyote ndani ya Afrika Mashariki na Kati.
Mkataba huo uliosainiwa juzi umeifanya timu hiyo iliyopanda daraja msimu wa 2013/014, kupokea kiasi cha bil.2.4, kutoka kampuni hiyo.
Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa ufundi wa kikosi hicho, Muhibu Kanu alisema, wanashukuru kuona neema nzuri...