Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liewig aibukia Stand United

>‘Ukisema cha nini, wenzio wanasema watakipata lini?’ Hiyo ndiyo kauli sahihi baada ya Stand United kusaini mkataba wa miaka mwili na kocha Patrick Liewig aliyetupiwa virago na Simba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Liewig ajitetea Stand United kuchemsha

Wakati uongozi wa Stand United ukiwakingia kifua mashabiki wa timu hiyo kwa kumfanyia vurugu kocha, Patrick Liewig mwenyewe amesema uwezo wake hauwezi kupimwa kwa mechi mbili.

 

9 years ago

Mwananchi

Liewig akomalia nyota Stand United

Kocha mkuu wa Stand United, Patrick Liewig amesema ataendelea kufanya kazi zake kwa weledi , hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mume wa Irene Uwoya aibukia Stand United

Mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ yuko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake kwenye klabu ya Stand United ya Shinyanga kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndikumana wa Irene Uwoya aibukia Stand United

Mshambuliaji huyo ambaye ni mume wa msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya tayari ameshatua mjini Shinyanga kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho na mabosi wa Stand.

Mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo ambao ndio wanaofanikisha mpango huo waliambia gazeti hili kuwa Ndikumana ambaye alikuwa akichezea soka la kulipwa nchini Ubelgiji atasajili kama mchezaji huru kutokana na kumalizika kwa mkataba wake.

Mshambuliaji huyo ameonyesha nia ya kutaka kucheza soka la kulipwa nchini na ndio hasa...

 

9 years ago

Mwananchi

Liewig, viongozi Stand hawaivi

Wakati uongozi wa Stand United ya Shinyanga ukionekana kuanza kumchoka kocha Patrick Liewing kutokana na msimamo wake,   yeye amebainisha kutotetereka na ataendelea kufanya kazi yake kwa weledi. Liewig ameingia kwenye mgogoro na wasaidizi wake huku mwenyekiti wa klabu hiyo, Amani Vincent akimzungumzia kuwa kocha asiyeshaurika, mkali na anayefanya kazi pasipo kuwaamini wasaidizi wake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbwembwe za Stand United

IMG-20141025-WA088(1)

Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.

 

10 years ago

Michuzi

MBWEMBWE ZA TIMU YA STAND UNITED

Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.

 

9 years ago

Habarileo

Ndanda FC waitisha Stand United

TIMU ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara imesema kipigo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka kwa Azam Alhamisi wiki iliyopita kimewapa changamoto ya kujipanga vizuri zaidi kwa michezo ijayo ikianzia leo dhidi ya Stand United.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA STAND UNITED FC




Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015.
Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia.
Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani