Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndikumana wa Irene Uwoya aibukia Stand United

Mshambuliaji huyo ambaye ni mume wa msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya tayari ameshatua mjini Shinyanga kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho na mabosi wa Stand.

Mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo ambao ndio wanaofanikisha mpango huo waliambia gazeti hili kuwa Ndikumana ambaye alikuwa akichezea soka la kulipwa nchini Ubelgiji atasajili kama mchezaji huru kutokana na kumalizika kwa mkataba wake.

Mshambuliaji huyo ameonyesha nia ya kutaka kucheza soka la kulipwa nchini na ndio hasa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mume wa Irene Uwoya aibukia Stand United

Mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ yuko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake kwenye klabu ya Stand United ya Shinyanga kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Amfuata Mumewe Ndikumana Nchini Rwanda !

Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya ambaye ndoa yake na Ndikumana Katauti wa Rwanda iliingia katika gogoro zito na kila mtu kuishi peke yake wanataka kuishi tena pamoja !.....Picha mpya za Irene Uwoya akiwa na Ndikumana zimetoka. Inadaiwa kuwa Uwoya alienda Rwanda kumtembelea Ndikumana ambaye wamezaa mtoto mmoja. Hizi picha zinaonyesha kama vile Uwoya alikuwa akiagwa na Ndiku kurudi Tanzania ingawa Uwoya anaonekana hana raha na sababu bado haijulikani.

Je kwakwuangalia picha hizo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Liewig aibukia Stand United

>‘Ukisema cha nini, wenzio wanasema watakipata lini?’ Hiyo ndiyo kauli sahihi baada ya Stand United kusaini mkataba wa miaka mwili na kocha Patrick Liewig aliyetupiwa virago na Simba.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndikumana: Sijaachana na Irine Uwoya Ingawa Hatuishi Pamoja

Mume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.

Ndukumana ambaye ni mwanasoka kwenye klabu moja ya soka nchini Rwanda ameyazungumza hayo hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV,Zamaradi Mketema alisema kuwa ingawa hawaishi pamoja na Irene Uwoya lakini hawajaachana.

‘Sijaachana na Irene Uwoya ingawa hatuishi pamoja yeye anaishi Dar mie naishi Rwanda na bado...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndikumana ‘out’ Stand, Majwega apasha Simba

Siku chache baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa, klabu zimeanza kusafisha safu zao kwa kuondoa au kuongeza wachezaji wapya.

 

9 years ago

Mtanzania

Shamsa amvulia kofia Irene Uwoya

Shamsa_Ford_02NA THERESIA GASPER

MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya.

Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake.

Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Sinza, Dar es Salaam.

“Tabia yangu na ya Irene inaendana kwani...

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Alia na Wanaotoa Mimba

Staa mrembo kutoka Bongo Movies,amewaasa wanawake  kuacha kutoa mimba hata kama  watakumbana na mtatizo,kwani mtoto ndio kila kitu katika maisha.

Msanii huyu alitoa wito huo hivi juzi kati akiwataka  wajawazito wote waliokataliwa  na wapenzi wao kuonyesha kuwa  wao  ni wanawake majasiri  kwa kutothubutu kutoa mimba hizo.

‘Mtoto  ni zawadi  kutoka kwa  Mungu, siku ya leo  nawashauri wanawake  wanaokataliwa  mimba na wapenzi wao wasitoe wala kufanya  chochote muonyeshe kama wewe ni mwanamke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani