Ndikumana: Sijaachana na Irine Uwoya Ingawa Hatuishi Pamoja
Mume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.
Ndukumana ambaye ni mwanasoka kwenye klabu moja ya soka nchini Rwanda ameyazungumza hayo hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV,Zamaradi Mketema alisema kuwa ingawa hawaishi pamoja na Irene Uwoya lakini hawajaachana.
‘Sijaachana na Irene Uwoya ingawa hatuishi pamoja yeye anaishi Dar mie naishi Rwanda na bado...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Ndikumana wa Irene Uwoya aibukia Stand United
Mshambuliaji huyo ambaye ni mume wa msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya tayari ameshatua mjini Shinyanga kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho na mabosi wa Stand.
Mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo ambao ndio wanaofanikisha mpango huo waliambia gazeti hili kuwa Ndikumana ambaye alikuwa akichezea soka la kulipwa nchini Ubelgiji atasajili kama mchezaji huru kutokana na kumalizika kwa mkataba wake.
Mshambuliaji huyo ameonyesha nia ya kutaka kucheza soka la kulipwa nchini na ndio hasa...
10 years ago
Bongo Movies28 Nov
Irene Uwoya Amfuata Mumewe Ndikumana Nchini Rwanda !
Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya ambaye ndoa yake na Ndikumana Katauti wa Rwanda iliingia katika gogoro zito na kila mtu kuishi peke yake wanataka kuishi tena pamoja !.....Picha mpya za Irene Uwoya akiwa na Ndikumana zimetoka. Inadaiwa kuwa Uwoya alienda Rwanda kumtembelea Ndikumana ambaye wamezaa mtoto mmoja. Hizi picha zinaonyesha kama vile Uwoya alikuwa akiagwa na Ndiku kurudi Tanzania ingawa Uwoya anaonekana hana raha na sababu bado haijulikani.
Je kwakwuangalia picha hizo,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVGAQKXNOuPF0D7VJvzjYn5JGM4F-Hy6uQQNWU84j9ScNvsZLHEm34wNqrjAdygZ9NBPNNDmqT53zWYFx3qshgvY/2.jpg?width=650)
SHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU
10 years ago
Bongo Movies20 May
Lucy Avunja Ukimya Kuhusu Ndikumana
Staa wa Bongo Movie ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, Lucy komba ameamua kuelezea tuhuma zinazomkabili za kua na uhusiano wa kimapenzi na Hamad Ndikumana, aliekua mme wa msanii mwenzake Irene Uwoya.Akizungumza na gazeti la sani Lucy ameelezea kwamba hakuna jambo lolote linalowakutanisha na Hamad zaidi ya filamu iitwayo "Kwanini nisimuoe" inayohusisha watu wawili tu.
Lucy alisema walipokua wanarekodi filamu hiyo ndio uvumi mwingi ulianzishwa. Ingawa mashabiki wengi walipinga kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-yJ3QahkkOHg/VItjdqgJvGI/AAAAAAAG27I/TgMM6vmwsmo/s72-c/IMG_2129.jpg)
ankal akutana na magwiji wa teknohama wa Maktech ambao ingawa hawavumi lakini wamo....
![](http://4.bp.blogspot.com/-yJ3QahkkOHg/VItjdqgJvGI/AAAAAAAG27I/TgMM6vmwsmo/s1600/IMG_2129.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1lAnPIw432E/VItjx6xsJ-I/AAAAAAAG27Q/QtK8hMF8a6g/s1600/IMG_2130.jpg)
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Ndikumana ‘out’ Stand, Majwega apasha Simba
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ZYpu-88N1RM/VYPm7MD7SdI/AAAAAAABQXs/OLmpnhkMFWs/s72-c/WASIRA.jpg)
SINA MAJINA YA MAFISADI, INGAWA UOVU HUU UMO NDANI YA VYAMA VYA SIASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZYpu-88N1RM/VYPm7MD7SdI/AAAAAAABQXs/OLmpnhkMFWs/s640/WASIRA.jpg)
Wasira anayeongozwa na kauli mbiu ya Uadilifu na Umoja wa Watanzania; Safari ya Uhakika, alisema hayo wakati akizungumza na wana-CCM waliomdhamini katika mikoa ya Rukwa na Katavi jana.
Alisema CCM na serikali yake ni taasisi zilizo na misingi ya uadilifu, ingawa ndani yake...
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Uwoya: Sijafulia jamani
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI maarufu wa bongo, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.
“Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.