Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ankal akutana na magwiji wa teknohama wa Maktech ambao ingawa hawavumi lakini wamo....

Leo Ankal amepata bahati ya kukutana na Maktech, kampuni inayojishughulisha na kutatua changamoto na kuweka mambo sawa katika uhandisi wa  TEKNOHAMA Tanzania. Pichani na Ankal akiwa na baadhi tu ya wadau wa Maktech ambao walimkaribisha kwa chakula cha mchana Ijumaa na kubadilishana naye mawazo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Ngeleja: Hawavumi lakini wamo

MMOJA wa waliotangaza nia kuomba kuteuliwa kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pengine hakuwa na mshindo au hakuonekana tishio ni Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja.

Wengi walimuona ni mtu wa kawaida, ambaye asingeweza kuwa tishio, huku wengine wakimwita ni pandikizi la wagombea wengine, wenye majina makubwa ndani ya CCM.

Polepole na kwa uhakika Ngeleja ameweza kuchanja mbuga, huku hoja zake zikiwafanya baadhi ya watu kufikiri kuhusu ugombea wake na namna...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA BENDI YA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI AKUTANA NA ANKAL, JIJINI DAR


Ankal akimkabidhi zawadi ya Krismasi  na kadi Kamanda wa FFU Ughaibuni The Ngoma Africa Band ya Ujeruman, Ras Ephraim Makunja, a.k.a Field Marshal wa jamii ya Annunaki walipokutana leo katikati ya jiji la Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya faragha ya saa moja katika kiota cha Break Point cha mjini.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndikumana: Sijaachana na Irine Uwoya Ingawa Hatuishi Pamoja

Mume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.

Ndukumana ambaye ni mwanasoka kwenye klabu moja ya soka nchini Rwanda ameyazungumza hayo hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV,Zamaradi Mketema alisema kuwa ingawa hawaishi pamoja na Irene Uwoya lakini hawajaachana.

‘Sijaachana na Irene Uwoya ingawa hatuishi pamoja yeye anaishi Dar mie naishi Rwanda na bado...

 

10 years ago

Michuzi

Birthday Wishes to Ankal from Mrs Ankal

Happy birthday to you my better half, my friend, perfect father/daddy to our kids‎. Wish you happiness, wish you success n contentment in your life. I wish to be there with you but " kazi hizi" I am always thankful to God for you and for every opportunity and everything he has favoured us. His blessings are ever in abundant/ abundance. I love n cherish you and will forever do so, in a very special way. Happy birthday.
Mrs Ankal.

 

10 years ago

Vijimambo

SINA MAJINA YA MAFISADI, INGAWA UOVU HUU UMO NDANI YA VYAMA VYA SIASA

MGOMBEA anayeomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Steven Wasira, amesema hana majina ya washukiwa wa ufisadi, ingawa uovu huo umo ndani ya vyama vya siasa ikiwamo CCM.
Wasira anayeongozwa na kauli mbiu ya Uadilifu na Umoja wa Watanzania; Safari ya Uhakika, alisema hayo wakati akizungumza na wana-CCM waliomdhamini katika mikoa ya Rukwa na Katavi jana.
Alisema CCM na serikali yake ni taasisi zilizo na misingi ya uadilifu, ingawa ndani yake...

 

11 years ago

Mwananchi

Teknohama na mtiririko wa ukweli uongo duniani

Kama Afrika inavyoanza kusahaulika kama iliwahi kuitwa Bara la Giza, ndivyo hivyo sekta ya mawasiliano na habari katika bara hili nayo imeanza pia kuondoka kwenye zama za giza na kuingia kwenye zama za nuru na mwanga, asante kwa TEKNOHAMA au teknolojia noma ya habari na mawasiliano.

 

9 years ago

Mwananchi

Magwiji wa Kiswahili

Mathias Eugen Mnyampala alizaliwa  tarehe 18/11/1917 katika Kitongoji cha Muntundya, Ihumwa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma na kufariki dunia tarehe 8/6/1969. Ni mwandishi na mshairi maarufu wa Kiswahili, mwanaharakati wa kisiasa, mwanasheria  na mwanahistoria.

 

10 years ago

Dewji Blog

Maendeleo ya TEKNOHAMA kwa sasa ikilinganishwa na hapo mwanzo

matipwili kids

Na Benedict Liwenga, MAELEZO-DSM.

TEHAMA ni moja kati ya Sekta zinazokua kwa kasi hapa nchini na duniani kote na imekuwa ikichangia kikamilifu katika maendeleo ya Taifa na pia imekuwa ikiwezesha sekta nyingine kukua na kuboresha maisha ya wananchi na huduma za jamii kwa ujumla.

Kutokana na ukuaji wa Sekta hii, jitihada za makusudi zinahitajika katika kusimamia na kuratibu shughuli za TEHAMA ili nchi iweze kunufaika zaidi kwani mchango wa sekta hiyo unaweza kuwa mkubwa kama TEHAMA na...

 

9 years ago

Mwananchi

Magwiji wa Kiswahili Tanzania

Wakati Watanzania wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu ujao, tunashuhudia pilikapilika nyingi za wanasiasa  wanaozungumzia  maendeleo ya taifa hili katika elimu, siasa, uchumi, afya, mawasiliano, nk. Kila chama cha siasa kimetayarisha vipaumbele vyake ambavyo vinalenga kuboresha maisha ya wananch

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani