Teknohama na mtiririko wa ukweli uongo duniani
Kama Afrika inavyoanza kusahaulika kama iliwahi kuitwa Bara la Giza, ndivyo hivyo sekta ya mawasiliano na habari katika bara hili nayo imeanza pia kuondoka kwenye zama za giza na kuingia kwenye zama za nuru na mwanga, asante kwa TEKNOHAMA au teknolojia noma ya habari na mawasiliano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Jul
Taarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA: Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.
Tahariri ya leo Machi 10, Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.
Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Maendeleo ya TEKNOHAMA kwa sasa ikilinganishwa na hapo mwanzo
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-DSM.
TEHAMA ni moja kati ya Sekta zinazokua kwa kasi hapa nchini na duniani kote na imekuwa ikichangia kikamilifu katika maendeleo ya Taifa na pia imekuwa ikiwezesha sekta nyingine kukua na kuboresha maisha ya wananchi na huduma za jamii kwa ujumla.
Kutokana na ukuaji wa Sekta hii, jitihada za makusudi zinahitajika katika kusimamia na kuratibu shughuli za TEHAMA ili nchi iweze kunufaika zaidi kwani mchango wa sekta hiyo unaweza kuwa mkubwa kama TEHAMA na...
9 years ago
StarTV02 Oct
Mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa asisitiza kutumia TEKNOHAMA
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinachoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema Sera yake anayoitumia ya Elimu kwanza si kwa mfumo uliopo sasa bali atabadilisha mfumo mzima na kuufanya kuwa wa TEKNOHAMA.
Amedai teknolojia hiyo ataifanya iweze kuwafikia wananchi kwa wepesi kwa kutumia rasilimali zilizopo kama Gesi asilia, madini ,vyanzo vya utalii na fedha zilizopo kwa kuwa anaamini Serikali bado ina pesa...
10 years ago
Michuziankal akutana na magwiji wa teknohama wa Maktech ambao ingawa hawavumi lakini wamo....
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Tigo yashirikiana na DTBi na COSTECH katika kukuza Teknohama na ajira kwa vijana nchini
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya utiliaji saini kati ya kampuni ya Tigo na kituo cha biashara ya teknohama DTBi. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez na Afisa Mtendaji Mkuu wa DTBi Eng. George Mulamula.
Tigo Tanzania leo imeingia katika ushirikiano na Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) ambayo itaona kampuni hiyo ya simu ikiwezesha...
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia waungana katika kongamano la Teknohama litakalofanyika Juni 18-19
Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala katika ushirikiano wao huo. anayefuatia ni Afisa wa Huawei.
Kampuni ya Huawei Tanzainia ikishirikiana na Wizara na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia inatarajiwa kufanya kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere Convential Centre (JNICC) kwa siku mbili yaani Juni 18 na 19...