Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA: Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.

Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa kihistoria hapo Oktoba 25.1. Zipo taarifa zinaendelea kuenezwa kuhusu makada wa CCM wakiongozwa na Edward Lowassa kuwa wana mpango wa kuhamia CHADEMA. Hadi sasa tunaziona habari hizo kupitia mitandaoni na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Teknohama na mtiririko wa ukweli uongo duniani

Kama Afrika inavyoanza kusahaulika kama iliwahi kuitwa Bara la Giza, ndivyo hivyo sekta ya mawasiliano na habari katika bara hili nayo imeanza pia kuondoka kwenye zama za giza na kuingia kwenye zama za nuru na mwanga, asante kwa TEKNOHAMA au teknolojia noma ya habari na mawasiliano.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015

Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury.Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya jumapili saa tatu na nusu usiku.Proin...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAWATHIBITISHA LOWASSA NA DUNI KUWA WAGOMBEA WA CHADEMA KUPITIA UKAWA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti 21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza mara baada ya kupokea Fomu...

 

10 years ago

Mwananchi

PAP yadai taarifa potofu imewaathiri

Mwenyekiti wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Pan African Energy Tanzania Ltd, Patrick Rutabanzibwa amesema tuhuma kwamba kampuni hiyo ilifanya udanganyifu katika hesabu ziliathiri mapato yake kwa asilimia 30.

 

10 years ago

Bongo5

Bila kazi ya ziada ukitegemea muziki unaweza kuumbuka town — Stereo

Rapper Stereo amedai kuwa muziki wa Tanzania ni mgumu kiasi kwamba kama msanii hana shughuli zingine za kujiingizia kipato anaweza kuumbuka. Stereo ameambia Bongo5 kuwa licha ya kutangaza kujikita zaidi kwenye kufanya muziki baada ya kumaliza masomo yake, amegundua kuwa muziki hauwezi kuwa tegemeo la wasanii. “Ni kweli nimeongeza muda wangu zaidi kwenye muziki, ambao […]

 

10 years ago

Habarileo

Wizara yahofu taarifa potofu za ebola kukimbiza watalii

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna TarishiWIZARA ya Maliasili na Utalii imetaka ufanyike utafiti wa kina ukiambatana na utoaji taarifa sahihi kuhusu ugonjwa wa ebola kuepuka kupotosha na kusababisha watalii kuhofu kuingia nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Taarifa za uongo Whatsapp zawapandisha kizimbani

WATU wanne wakiwemo ndugu watatu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa Whatsapp, kuwa nchi inaingia kwenye machafuko wakati wa uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani