PAP yadai taarifa potofu imewaathiri
Mwenyekiti wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Pan African Energy Tanzania Ltd, Patrick Rutabanzibwa amesema tuhuma kwamba kampuni hiyo ilifanya udanganyifu katika hesabu ziliathiri mapato yake kwa asilimia 30.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Aug
Wizara yahofu taarifa potofu za ebola kukimbiza watalii
WIZARA ya Maliasili na Utalii imetaka ufanyike utafiti wa kina ukiambatana na utoaji taarifa sahihi kuhusu ugonjwa wa ebola kuepuka kupotosha na kusababisha watalii kuhofu kuingia nchini.
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Coronavirus: Hivi ndivyo unavyoweza kuzuwia sambaa kwa taarifa potofu
10 years ago
Vijimambo15 Jul
Taarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA: Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/lowassa2.jpg)
9 years ago
Michuzi14 Sep
Taarifa potofu kuhusu ushiriki wa watumishi wa Umma Kwenye Kampeni za kisiasa na matumizi ya Magari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”
Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Kenya yadai US inachochea mapinduzi
10 years ago
Habarileo14 Nov
‘PAP haina uhusiano na familia ya JK’
KAMPUNI ya PanAfrica Power Resources (PAP) imekanusha umiliki wake kuwa na uhusiano na familia ya Rais Jakaya Kikwete kama ilivyovumishwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
10 years ago
Counsel14 Nov
Kikwete family has no stake in PAP
Daily News
PAN Africa Power Solutions Limited (PAP), the owner of Independent Power Tanzania Limited (IPTL), has strongly refuted claims circulating in the social media that the company is linked to the family of President Jakaya Kikwete. A statement issued to the ...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
IPTL/PAP yawaonya wanasiasa
KAMPUNI ya IPTL/PAP imewataka wanasiasa kutambua kwamba kampuni hiyo sio mali ya serikali, bali inazalisha na kuuza umeme. Imesema kuendelea kujadili masuala ya ndani ya uendeshaji ikiwemo namna ya kuzalisha...
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Israel yadai kubaguliwa na Palestina