Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yahofu taarifa potofu za ebola kukimbiza watalii

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna TarishiWIZARA ya Maliasili na Utalii imetaka ufanyike utafiti wa kina ukiambatana na utoaji taarifa sahihi kuhusu ugonjwa wa ebola kuepuka kupotosha na kusababisha watalii kuhofu kuingia nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

PAP yadai taarifa potofu imewaathiri

Mwenyekiti wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Pan African Energy Tanzania Ltd, Patrick Rutabanzibwa amesema tuhuma kwamba kampuni hiyo ilifanya udanganyifu katika hesabu ziliathiri mapato yake kwa asilimia 30.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Hivi ndivyo unavyoweza kuzuwia sambaa kwa taarifa potofu

Wataalamu wanautolea wito umma kujifunza kutoa ‘taarifa safi ’ili kusaidia kuzuwia kuenea kwa taarifa za gushi.

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA MALIASILI YATOA MUONGOZO KWA WATALII

  Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka mwongozo maalum kwa kampuni zinazojihusisha na watalii, kuhakikisha kuwa wanakuwa na taarifa za mara kwa mara za tahadhari ya maambukizi ya Virusi vya Corona zinazopaswa kuchukuliwa na kufuatwa kwa usahihi.

Mwongozo huo umetolewa na Wizara hiyo kwa lengo la kuhakikisha makampuni hayo yanajiweka tayari ili kuwaepusha watalii kupata maambukizi ya Virusi hivyo na kusisitiza kuwa sehemu zote ambazo ni rahisi kuguswa na mtu yoyote, wahakikishe zinasafishwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA: Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.

Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa kihistoria hapo Oktoba 25.1. Zipo taarifa zinaendelea kuenezwa kuhusu makada wa CCM wakiongozwa na Edward Lowassa kuwa wana mpango wa kuhamia CHADEMA. Hadi sasa tunaziona habari hizo kupitia mitandaoni na...

 

9 years ago

Michuzi

Taarifa potofu kuhusu ushiriki wa watumishi wa Umma Kwenye Kampeni za kisiasa na matumizi ya Magari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

 Katika ukurasa wa mbele na wa tano wa Gazeti la Nipashe, toleo 0578604 la tarehe 12 Septemba, 2015 kumechapishwa taarifa kwamba “Sefue; Marufuku kutumia magari ya serikali kwenye kampeni”
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”


Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yahofu uchaguzi mkuu 2015 kuvurugika

Na Suleiman Jongo, Chalinze
Nape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kuna uwekezano wa Uchaguzi Mkuu wa mwakani kuvurugika kutokana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kulazimisha matumizi ya mfumo mpya wa Biometric Voter Registration (BVR).
Kimesema mfumo huo utaigharimu serikali mabilioni ya shilingi na kwamba, unaweza usitoe mafanikio yenye tija kama inavyotarajiwa kwa kuwa tayari umetoa matokeo mabaya kwenye baadhi ya nchi zilizoanza kuutumia.
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi,...

 

11 years ago

CloudsFM

DIAMOND ANAENDELEA KUKIMBIZA KWENYE KURA ZA MAONI BET

Kwenye mchakato wa kuelekea kwenye tuzo za BET, msanii pekee anayeiwakilisha Afrika Mashariki kwenye tuzo hizo kipengele cha Best International Act Diamond Platnumz anaendelea kumwacha mbali msanii ambaye anaonekana kuwa tishio kidogo kwake Davido kutoka nchini Nigeria, hiyo ni kwa nguvu za Watanzania, Wakenya,Waganda,Rwanda na Burundi,ili kumwezesha Diamond Platnumz kuchukua tuzo hiyo inatakiwa kucoment kwenye mitandao ya kijamii inayoendeshwa na BET Facebook,Twitter na Instagram.Mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

MAISHA ya sasa. Ni kukimbiza DEATHDAY kuliko kuikimbia BIRTHDAY

Na Mubelwa T Bandio
MAISHA. Nimejifunza kuwa hayako sawa. Na naamini huo ndio usawa wake, kwani humu tuishimo hakuko sawa.
Hivyo, haitakuwa sawa kwa maisha kuwa sawa katika "uwanja" usio sawa kwa waishimo.
Na...
Najua nililoanza nalo na nitakaloendeleza halitaeleweka sawa, na huo ni udhihirisho wa usawa wetu, ambao nao hauko sawa.
Leo, Agosti 10,  ninapoadhimisha mwaka mwingine katika maisha yangu, naitumia siku hii KUAKISI maisha yangu kuliko kusherehekea.
UKWELI ni huu...
Unasoma hapa kwa kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA UFAFANUZI WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Katika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo: BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani