TAARIFA YA UFAFANUZI WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Katika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo: BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA KUWA NI ZAUONGO

WIZARA YA NISHATI NA MADINITAARIFA KWA UMMAHivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B. Simbachawene akisema kuwa mitambo yote ya uzalishaji umeme nchini inamilikiwa na Kampuni binafsi.
Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa taarifa hizi ni za uongo kwani Waziri Simbachawene hajawahi kutoa tamko la kuwa mitambo ya kuzalisha Umeme yote nchini ni ya kampuni binafsi bali alichosema ni kuwa,...
10 years ago
Michuzi
WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI


10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
10 years ago
Michuzi
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...
10 years ago
MichuziMH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI
10 years ago
Michuzi
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKUTANA NA WADAU WA MADINI YA SHABA
Wizara ya Nishati na Madini imekutana na wadau wa madini ya Shaba katika mkutano wa siku mbili ulioanza tarehe 24- 25 Novemba, 2014 na kuwashirikisha wafanyabiashara wa madini hayo, wachimbaji wadogo, viwanda vya kuyeyusha madini ya Shaba, Makamishana Wasaidizi wa Madini kutoka Kanda mbalimbali nchini pamoja na baadhi ya Maafisa Madini Wakaazi.
Akifungua mkutano huo, unaolenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ndogo ya madini ya Shaba na namna ya...
10 years ago
Vijimambo
Ufafanuzi Wa Serikali Uliyotolewa Leo Bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo

Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.
Kauli ya Prof Muhongo inakuja siku moja baada ya Kamati ya PAC kuwasilisha ripoti...