Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufafanuzi Wa Serikali Uliyotolewa Leo Bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo

Ameweka wazi kwamba fedha za Escrow si mali ya umma,bado Serikali inadaiwaWaziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo
Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.

Kauli ya Prof Muhongo inakuja siku moja baada ya Kamati ya PAC kuwasilisha ripoti...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

 

10 years ago

GPL

TEGETA ESCROW: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO ATOA UTETEZI WA SERIKALI BUNGENI

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. Ameanza kwa kuomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme. Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukrani kwa CAG, TAKUKURU kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu. Spika wa Bunge,...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA KAMPUNI YA MTIBWA SUGAR ESTATES LTD

 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na kampuni ya Mtibwa Sugar Estates Ltd.   Profesa Muhongo aliitaka kampuni hiyo  kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme ili kukidhi mahitaji yake zaidi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini -  Madini,  Prof. James Mdoe (kushoto) na Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini – Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Palangyo (kulia) wakifuatilia kwa makini...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF SOSPETER MUHONGO, AKUTANA NA MR MAYANK BHARGAVA AKIWEMO MR PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC‏

 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhomgo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA akiwemo mweyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao toka Tanzania.…

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA HESHIMA NCHINI NIGERIA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika katika masuala ya jiolojia huko nchini Nigeria. Profesa Muhongo alikabidhiwa nishani hiyo na timu ya wanajiolojia kwa kutambua mchango wake mkubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Nishani hiyo alikabidhiwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Daniel Ole Njoolay kwa niaba yake.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA HESHIMA NCHINI NIGERIA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiwa ofisini kwake huku akiwa amevaa nishani hiyo. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika katika masuala ya jiolojia huko nchini Nigeria. Profesa Muhongo alikabidhiwa nishani hiyo na timu ya wanajiolojia kwa kutambua...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA FINLAND NCHINI BI. SINIKKA ANTILA AMTEMBELEA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimkaribisha Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila (kushoto) kabla ya kuanza kikao kilichojadili utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuboresha umeme katikati ya jiji la Dar es Salaam. Pia kikao hicho kilihusisha ujumbe wa balozi wa Finland na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza na Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila na ujumbe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani