Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAISHA ya sasa. Ni kukimbiza DEATHDAY kuliko kuikimbia BIRTHDAY

Na Mubelwa T Bandio
MAISHA. Nimejifunza kuwa hayako sawa. Na naamini huo ndio usawa wake, kwani humu tuishimo hakuko sawa.
Hivyo, haitakuwa sawa kwa maisha kuwa sawa katika "uwanja" usio sawa kwa waishimo.
Na...
Najua nililoanza nalo na nitakaloendeleza halitaeleweka sawa, na huo ni udhihirisho wa usawa wetu, ambao nao hauko sawa.
Leo, Agosti 10,  ninapoadhimisha mwaka mwingine katika maisha yangu, naitumia siku hii KUAKISI maisha yangu kuliko kusherehekea.
UKWELI ni huu...
Unasoma hapa kwa kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbezi kwa Msuguri maisha ni magumu kuliko kijijini

UMUHIMU wa barabara na njia za kupita katika sehemu yoyote anayoishi binadamu ndiyo msingi wa maendeleo yake yeye binafsi na viumbe vyote hai vinavyomzunguka. Hata mimea kama hakuna barabara ya...

 

9 years ago

Bongo5

Soggy Doggy adai mashabiki wa sasa wanapenda ‘kutazama kuliko kusikiliza’

Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema wimbo wake ‘Nafunga Zipu’ ulishindwa kufanya vizuri kwakuwa ulikosa video. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa mashabiki wa sasa wanapenda kuangalia kuliko kusikiliza. “Kwetu Studio ndio walikuwa na kazi yetu lakini baada ya kupata matatizo ya kuibiwa vifaa vyao vya studio, wakawa wameibiwa na material ya kazi yetu, […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Mmmh! Hii sasa ni kubwa kuliko! William Mtitu amfungukia haya Flora Mbasha kuhusu mumewe.

Lile sataka la kubaka linalomkabili mume wa mwanamuziki maafuru wa nyimbo za dini – Flora Mbasha limechukua sura mpya baada ya hapo jana mwigizaji na mwongozaji maarufu wa filamu nchini William Mtitu (Pichani) kuamua kufunguka haya juu ya mwanamziki huyu.

Hatutaki kukupotezea muda, jisomee mwenyewe hapo chini kasha “utafakari”.

 

Huku akiwa ameweka picha hiyo hapo juu ya Flora Mbasha na mumewe Mtitu alinzanza kwa kuandika…

 

“Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya...

 

5 years ago

Michuzi

MHADHIRI CHUO KIKUU ASEMA NI VIGUMU SANA KWA MAZINGIRA YA SASA KUZUNGUMZIA MTU ANAYEWEZA AKASIMAMA AKAWA BORA KULIKO RAIS MAGUFULI...

MHADHARI wa Chuo Kikuu Saint John jijini Dodoma Dk.Alfred Sebahene amesema kwamba ni vigumu sana katika mazingira tuliyonayo kwa sasa kuzungumzia mtu anaweza kusimama akawa bora kuliko Rais Dk.John Magufuli.
Akizungumzia kuhusu utendaji kazi wa Rais Dk.Magufuli ,Dk.Sebahene amefafanua kuwa ni vigumu kwa sababu wananchi wameona matokeo chanya ya jitihada za Serikali hii ya Awamu ya Tano na kusisitiza kuna jitihada kubwa sana na mambo yanayoonekana ndio ambayo Mtanzania anataka kuyazingatia...

 

10 years ago

Michuzi

5 years ago

Bongo5

Aslay atoa sababu ya kuikimbia nyumba ya Mkubwa na Wanawe

Aslay amefunguka sababu iliyomfanya aondoke kwenye nyumba ya kituo cha Mkubwa na Wanawe,ambapo alipokuwa anaishi Waimbaji wenzake.

Hitmaker huyo wa ‘Angekuona’, amekiambia kipindi cha ‘On The Eight’ cha TVE kuwa hakuna matatizo yoyote yaliyomsababisha kuondoka katika kituo hicho bali aliamua kuifuata familia yake ili aweze kuishi nayo kwa ukaribu, tofauti na watu wengi wanavyofikiria.

Muimbaji huyo ameongeza kuwa zamani alijisahau zaidi katika muziki, lakini kwa sasa amepanga kujibrand yeye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani