Soggy Doggy adai mashabiki wa sasa wanapenda ‘kutazama kuliko kusikiliza’
Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema wimbo wake ‘Nafunga Zipu’ ulishindwa kufanya vizuri kwakuwa ulikosa video. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa mashabiki wa sasa wanapenda kuangalia kuliko kusikiliza. “Kwetu Studio ndio walikuwa na kazi yetu lakini baada ya kupata matatizo ya kuibiwa vifaa vyao vya studio, wakawa wameibiwa na material ya kazi yetu, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-h7BG5NPyFXc/VTYr-8s8c5I/AAAAAAAABVw/aoZcuXVUn1s/s72-c/nafunga%2Bzipu%2Bartwork.png)
10 years ago
Bongo508 Oct
Audio: Soggy Doggy awakusanya Nature, Inspekta, Suma G kwenye ngoma mpya
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/db0iKKPPZ8E/default.jpg)
10 years ago
Bongo514 Sep
Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq*onwVX-a6617Dkby-bdzEPcJ-mn7OIMi95axbkrJCG5pnGZJYW4hgqW1uIc17kY3*7Oi6V-hJlkH9WGpp51EiP/mahaba.jpg)
WENGI WANAPENDA HARUSI KULIKO NDOA
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
KELVIN NYOMARI: Watanzania wanapenda starehe kuliko kazi
KUTOKANA na taifa kukabiliwa na changamoto ya ajira, vijana wengi hujiingiza kwenye biashara ya mihadarati. Vijana wamekuwa wakitumiwa na baadhi ya vigogo kusafirisha dawa hizo za kulevya nje ya nchi,...
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Sasa ni rahisi zaidi kutazama account yako na Tenbre App
Sasa unaweza kucheki bill ya account yako mpaka miezi sita kwa app ya tenbre. Unaweza kuona historia ya account yako, makato au marejesho ya kiasi cha pesa pia yataonekana.
Anza kwa kuchagua “smart card”. Hii itakuonyesha orodha ya vitu mbali mbali.
Chini ya orodha hii, utaona “Account Bill”, chagua hiyo ili kuangalia bill yako.
Unaweza kuchagua mwezi unaotaka kuangalia:
Download Tenbre kwa kutembelea Play Store kwenye simu yako ya Android au bofya hapa
Kama una swali au ungependa kujua...
9 years ago
Bongo528 Dec
JB adai anajali heshima kuliko pesa kwenye filamu
![JB](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/JB-300x194.jpg)
Muigizaji wa ‘Chungu cha Tatu’ Jacob ‘JB’ Stephen amesema yupo tayari kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 200 kwenye filamu bila kujali hasara ili kujenga heshima yake katika tasnia ya filamu.
JB amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa, ameamua kuwaridhisha mashabiki wake wa filamu kwa kufanya kazi za gharama za juu na zenye ubora.
“Mimi nimetengeneza sinema zaidi ya 37 mpaka sasa hivi kupitia kampuni yangu ya Jerusalem na pesa zipo kwenye akaunti yangu lakini kumbukumbu yangu kubwa...