DOWNLOAD: SOGGY DOGGY - #NAFUNGA ZIPU
![](http://4.bp.blogspot.com/-h7BG5NPyFXc/VTYr-8s8c5I/AAAAAAAABVw/aoZcuXVUn1s/s72-c/nafunga%2Bzipu%2Bartwork.png)
Tweet
africanjam.com
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Oct
Soggy Doggy adai mashabiki wa sasa wanapenda ‘kutazama kuliko kusikiliza’
Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema wimbo wake ‘Nafunga Zipu’ ulishindwa kufanya vizuri kwakuwa ulikosa video. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa mashabiki wa sasa wanapenda kuangalia kuliko kusikiliza. “Kwetu Studio ndio walikuwa na kazi yetu lakini baada ya kupata matatizo ya kuibiwa vifaa vyao vya studio, wakawa wameibiwa na material ya kazi yetu, […]
10 years ago
Bongo508 Oct
Audio: Soggy Doggy awakusanya Nature, Inspekta, Suma G kwenye ngoma mpya
Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema yupo mbioni kuachia ngoma mpya na wasanii wakongwe wenzie, Juma Nature, Inspekta Haroun, Suma G na Hammer Q. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa ngoma hiyo imetayarishwa na Q the Don. “Tangu nimerudi kuishi Dar nimeshaenda studio za Majani sana. Zaidi ya muziki natarajia zaidi kurekodi lakini kuna […]
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/db0iKKPPZ8E/default.jpg)
10 years ago
Bongo514 Sep
Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay
Wasanii kibao walijitokeza kumsapoti Professor Jay kwenye uzinduzi wa video zake mbili Jumamosi hii. Soggy Doggy,Wakazi na TID ni baadhi ya wasanii waliotumbuizam Tazama ilivyokuwa. TID aikiimba wimbo wa Missing You wa KC & JOJO TID na Wakazi wakitoa Freestyle Soggy Doggy akitumbuiza
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhOtwxjgb5-X3k2AnFkc12uE*17R3u1D5f3QnQqKR6vx87jU5-pr20fyFQ7RQII1pvMlpxwBIwFr*TlRQzN7ekWG/linah.jpg?width=650)
LINAH:NAFUNGA NDOA SOON
Stori: Musa Mateja
MSANII mwenye sauti mwanana anayetesa kwenye Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’, amefunguka kuwa, ndoa yake na mpenzi wake Nagari Kombo ‘Kaka wa Bongo’ inanukia. Linah akipozi na mpenzi wake Nagari Kombo wakati wa utoaji tuzo za Kili. Linah alisema hayo wikiendi iliyopita aliponaswa akijiachia na Kaka wa Bongo katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar ambapo mpango mzima wa Tuzo za...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ2jYXNGldWP3R6QzRRyJSNLFkc-jzdaGWm1H7Xoa908bbKbGbohvauTMBGu8SowiXQWYW5cdtycWLcSHO2nniIu/banza.jpg)
BANZA: MWAKA HUU NAFUNGA MWANZO MWISHO
Stori: Gladness Mallya
TOFAUTI na mwaka jana ambapo msanii wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ hakuweza kufunga, mwaka huu amesema anafunga mwanzo mwisho mpaka mwezi mtukufu uishe. Msanii wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Akistorisha na Ijumaa, Banza alisema anamshukuru Mungu kwa kuwa mwaka huu ameweza kufunga kwani mwaka jana alishindwa kufunga hata...
10 years ago
Bongo507 Jan
Tusisingizie stress twendeni studio na tutulize akili kuandika tu ngoma kali — Soggy
Rapper mkongwe na mtangazaji wa radio Efm, Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a Soggy Doggy Anter au The Entertainer ametoa ushauri kwa wasanii wa muziki kuacha kusingizia ‘stress’ kama chanzo cha kujihusisha na mambo yasiyofaa pale muziki unapowaendea vibaya. Soggy ambaye huendesha kipindi cha X-Ray kila Jumamosi akishirikiana na Sam Kiama, Kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika: […]
10 years ago
Bongo520 Oct
New Music: Soggy/Suma-G/Inspector/Juma Nature/Hammer Q — Wakali wa hizi Kazi
Way Back Entertainment inakuletea mradi ambao utakuwa ukiwakutanisha wasanii wa zamani katika kurekodi pamoja nyimbo mpya na kufanya matamasha ya pamoja. Kwa kuanzia WAY BACK imewakutanisha kwenye wimbo mmoja wakali wafuatao SOGGY DOGGY,SUMA-G,INSPECTOR HARUN,JUMA NATURE NA HAMMER Q producer Q The Don akiwa ni Q the Don.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania