Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANZA: MWAKA HUU NAFUNGA MWANZO MWISHO

Stori: Gladness Mallya
TOFAUTI na mwaka jana ambapo msanii wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ hakuweza kufunga, mwaka huu amesema anafunga mwanzo mwisho mpaka mwezi mtukufu uishe. Msanii wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Akistorisha na Ijumaa, Banza alisema anamshukuru Mungu kwa kuwa mwaka huu ameweza kufunga kwani mwaka jana alishindwa kufunga hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mipango mizuri mwisho wa mwaka, huanza vyema mwanzo wa mwaka

MWANZO wa kila mwaka ni muda mwafaka wa kutafakari katika nafasi ya mtu mmoja, familia na nchi nzima tumetekeleza vipi mipango na mikakati tuliyokuwa nayo, wapi tumeteleza, nini tulichoshindwa na kupata tathmini nzima ya utekelezaji wetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Je, huu ndiyo mwanzo wa mwisho?

Upo msemo wa lugha ya Kiingereza ambao tafsiri yangu ambayo si rasmi ni “mwanzo wa mwisho” wao husema ‘‘the beginning of the end’’.

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwisho wa mwaka huu, jamani taratibu

Kuna wakati niliwahi kufikiria kutotembea kabisa barabarani nyakati za mwisho wa mwaka kwa sababu tu nilikuwa nahisi kwamba hiki ni kipindi cha balaa kuliko vipindi vyote vya mwaka.

 

10 years ago

Michuzi

Safari ya Mwisho ya Mwanamuziki Banza Stone

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja "Banza Stone" wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi  kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Je, ni mwanzo wa mwisho wa Zitto?

YAMEISHAANDIKWA mengi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe. Kitu kimoja tu hakijaandikwa. Nacho ni kuandika tanzia yake...

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Mwisho ama mwanzo.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto, jana alitangaza kujiuzulu ubunge kwa kusambaza waraka kwa vyombo vya habari.

Baadaye Zitto alikwenda bungeni katika kikao cha jioni kwa ajili ya kuwaaga wabunge wenzake na kuwaeleza sababu za uamuazi wake.

Hata hivyo, kabla ya kuwasili bungeni akisubiri kupewa fursa ya kuwaaga wabunge, aliwaeleza waandishi wa habari kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda amemzuia kuchukua uamuzi huo na kwamba yeye (Zitto) alikuwa akiendelea kumshawishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanzo, mwisho Tume ya Jaji Warioba

Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya na kuchambua maoni kwa ajili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefikia tamati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani