Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, ni mwanzo wa mwisho wa Zitto?

YAMEISHAANDIKWA mengi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe. Kitu kimoja tu hakijaandikwa. Nacho ni kuandika tanzia yake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Mwisho ama mwanzo.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto, jana alitangaza kujiuzulu ubunge kwa kusambaza waraka kwa vyombo vya habari.

Baadaye Zitto alikwenda bungeni katika kikao cha jioni kwa ajili ya kuwaaga wabunge wenzake na kuwaeleza sababu za uamuazi wake.

Hata hivyo, kabla ya kuwasili bungeni akisubiri kupewa fursa ya kuwaaga wabunge, aliwaeleza waandishi wa habari kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda amemzuia kuchukua uamuzi huo na kwamba yeye (Zitto) alikuwa akiendelea kumshawishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, huu ndiyo mwanzo wa mwisho?

Upo msemo wa lugha ya Kiingereza ambao tafsiri yangu ambayo si rasmi ni “mwanzo wa mwisho” wao husema ‘‘the beginning of the end’’.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuishangilia Stars mwanzo mwisho

RAIS wa Awamu ya Tano nchini, Dk John Magufuli anatarajiwa kuwa mmoja wa mashabiki watakaoipa nguvu timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 dhidi ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumamosi.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga: Tutashambulia mwanzo mwisho leo

Alexandria, Misri. Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amesema mbinu pekee ya kujilinda katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly ni kushambulia tu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanzo, mwisho Tume ya Jaji Warioba

Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya na kuchambua maoni kwa ajili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefikia tamati.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Lowassa, mwanzo au mwisho wa ndoto zake?

>Jioni ya Januari 25, 1965 wakati Waingereza walipomzika Waziri Mkuu wao maarufu wa zamani, Winston Churchill katika makaburi ya St Martin’s Church, Bladon eneo la Oxford ilimaanisha kuwa Waingereza walikuwa wanamzika mmoja wa wanasiasa wazuri waliowahi kutoa tafsiri nzuri ya neno siasa.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA, BURUDANI MWANZO MWISHO

Mwanamuziki Fid Q akizikonga nyoyo za mashabiki wa Mwanza waliohudhuria tamasha la ujasiriamali jana. Mheshimiwa Sugu akitoa burudani kwa wakazi wa…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

HAPATOSHI! Mastaa wanaokimbiza katika anga la muziki wa Bongo Fleva, wanatarajia kuchuana vilivyo kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu. Diva wa muziki kutoka Nigeria ambaye anatamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade. Akizungumza na Risasi Vibes, mratibu wa tamasha hilo ambalo linafanyika kwa awamu  tatu mwaka huu, Luqman Maloto aliianika listi ya mastaa hao huku akiahidi kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani