Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA, BURUDANI MWANZO MWISHO

Mwanamuziki Fid Q akizikonga nyoyo za mashabiki wa Mwanza waliohudhuria tamasha la ujasiriamali jana. Mheshimiwa Sugu akitoa burudani kwa wakazi wa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NI BURUDANI MWANZO MWISHO

Burudani mbalimbali zikiendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

HAPATOSHI! Mastaa wanaokimbiza katika anga la muziki wa Bongo Fleva, wanatarajia kuchuana vilivyo kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu. Diva wa muziki kutoka Nigeria ambaye anatamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade. Akizungumza na Risasi Vibes, mratibu wa tamasha hilo ambalo linafanyika kwa awamu  tatu mwaka huu, Luqman Maloto aliianika listi ya mastaa hao huku akiahidi kuwa...

 

10 years ago

GPL

KILI MUSIC TOUR 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

Burudani mbalimbali katika usiku wa Kili Music Tour 2014 kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam Septemba 6, 2014.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA TAMASHA LA UJASIRIAMALI JIJINI MWANZA LEO

Watu waliojitokeza kwa wingi siku ya leo kujifunza elimu ya ujasiriamali. Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba akijibu maswali ya wakazi wa jiji la Mwanza. Masanja mkandamizaji (katikati ).…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA; SIKU TATU ZA UKO-MBOZI!

Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba akijibu maswali ya wakazi wa jiji la Mwanza. WAKAZI wa jiji la Mwanza na mikoa ya jirani wako katika kipindi cha Neema na Baraka kufuatia kuwepo kwa tamasha la kipekee la ujasiriamali kwa siku tatu mfululizo kuanzia jana, leo na kesho ambapo watapata fursa ya kujifunza  mbinu na siri mbalimbali za jinsi ya kutengeneza mabilioni ya pesa. Tamasha hilo la kipekee lilianza kufanyika jana...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA UJASIRIAMALI KURINDIMA MWANZA IJUMAA HADI JUMAPILI

Mratibu wa Tamasha la Ujasiriamali, Abdallah Mrisho (wa pili kulia) akiongea jambo na waandishi wa habari leo ndani ya ukumbi wa The Atriums Hotel iliyoko Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha (wa pili kushoto) akiongea na…

 

11 years ago

GPL

KUTOKA JIJINI MWANZA KATIKA TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LEO

Wananchi wakijipatia huduma kutoka kwa wadhamini wa Tamasha la Ujasiriamali linalofikia kilele chake leo hii jijini Mwanza. Wananchi wakijipatia CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba zenye mafunzo ya ujasiriamali. (PICHA: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA /…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani