TAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA; SIKU TATU ZA UKO-MBOZI!
![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzQVI361xaSQfmx0oEF0pOLI5XHMeuhonabJTeakITECKauVnE1*m2JzqA*EejvuEff0Qa-NvZ-obKGRc*ZoH0vM/James.jpg?width=650)
Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba akijibu maswali ya wakazi wa jiji la Mwanza. WAKAZI wa jiji la Mwanza na mikoa ya jirani wako katika kipindi cha Neema na Baraka kufuatia kuwepo kwa tamasha la kipekee la ujasiriamali kwa siku tatu mfululizo kuanzia jana, leo na kesho ambapo watapata fursa ya kujifunza mbinu na siri mbalimbali za jinsi ya kutengeneza mabilioni ya pesa. Tamasha hilo la kipekee lilianza kufanyika jana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTASWIRA ZA TAMASHA LA UJASIRIAMALI JIJINI MWANZA LEO
11 years ago
GPLTAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA, BURUDANI MWANZO MWISHO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpzp8PRhMEOugL*Qulb9OjN3abq5NRQfS6vN34mJz82xs8yeZdvskQfgfChybp3leirWH9AMz*a9OqN8gkwf*cy3/PRESSUJASIRIAMALIMWANZA1.jpg?width=650)
TAMASHA LA UJASIRIAMALI KURINDIMA MWANZA IJUMAA HADI JUMAPILI
11 years ago
GPLKUTOKA JIJINI MWANZA KATIKA TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LEO
11 years ago
GPLTAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LAZIDI KURINDIMA NDANI YA CCM KIRUMBA, MWANZA
11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI JIJINI MWANZA LINALOENDELEA HIVI SASA
10 years ago
MichuziWarsha ya Maafisa Vijana,waratibu wa ukimwi na wadau mbalimbali yafikia siku ya tatu jijini Mwanza
9 years ago
MichuziAWAMU YA TATU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAJILI YA KUMKOMBOA MWANAMKE WA KITANZANIA YAANZA DAR
Awamu ya Tatu ya Mafunzo ya Ujarisiamali kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanza leo. Wanawake 35 wa jiji la Dar es salaam Watanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mtaalamu wa mambo ya Biashara Bw Felix Maganjila na Shekha Nasser. Mafunzo haya yenye lengo la kumwezesha mwanamke wa Kitanzania kuondokana na tatizo la ukossefu wa ajira kwa kujikita katika kujiajiri...