Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, huu ndiyo mwanzo wa mwisho?

Upo msemo wa lugha ya Kiingereza ambao tafsiri yangu ambayo si rasmi ni “mwanzo wa mwisho” wao husema ‘‘the beginning of the end’’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BANZA: MWAKA HUU NAFUNGA MWANZO MWISHO

Stori: Gladness Mallya
TOFAUTI na mwaka jana ambapo msanii wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ hakuweza kufunga, mwaka huu amesema anafunga mwanzo mwisho mpaka mwezi mtukufu uishe. Msanii wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Akistorisha na Ijumaa, Banza alisema anamshukuru Mungu kwa kuwa mwaka huu ameweza kufunga kwani mwaka jana alishindwa kufunga hata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Je, ni mwanzo wa mwisho wa Zitto?

YAMEISHAANDIKWA mengi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe. Kitu kimoja tu hakijaandikwa. Nacho ni kuandika tanzia yake...

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Mwisho ama mwanzo.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto, jana alitangaza kujiuzulu ubunge kwa kusambaza waraka kwa vyombo vya habari.

Baadaye Zitto alikwenda bungeni katika kikao cha jioni kwa ajili ya kuwaaga wabunge wenzake na kuwaeleza sababu za uamuazi wake.

Hata hivyo, kabla ya kuwasili bungeni akisubiri kupewa fursa ya kuwaaga wabunge, aliwaeleza waandishi wa habari kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda amemzuia kuchukua uamuzi huo na kwamba yeye (Zitto) alikuwa akiendelea kumshawishi...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuishangilia Stars mwanzo mwisho

RAIS wa Awamu ya Tano nchini, Dk John Magufuli anatarajiwa kuwa mmoja wa mashabiki watakaoipa nguvu timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 dhidi ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumamosi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanzo, mwisho Tume ya Jaji Warioba

Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya na kuchambua maoni kwa ajili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefikia tamati.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga: Tutashambulia mwanzo mwisho leo

Alexandria, Misri. Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amesema mbinu pekee ya kujilinda katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly ni kushambulia tu.

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NACHO NIKIPAJI AU NDIYO MWANZO WA UPANYA RODI

Hapa ni full kwida ni kukwide mambo ya kitaa hayo najua ulishapitia hizi pinde T-shirt ya mtumba hapo ilipata nyuki wa kutosha dawa yake hapa ukipata upenyo ni kukimbia tu kwani mtaani hakuna kutenganishwa mnapigana mwanzo mwisho kama nguvu zako ni sa soda ni bora ugeuke kunguru.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

HAPATOSHI! Mastaa wanaokimbiza katika anga la muziki wa Bongo Fleva, wanatarajia kuchuana vilivyo kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu. Diva wa muziki kutoka Nigeria ambaye anatamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade. Akizungumza na Risasi Vibes, mratibu wa tamasha hilo ambalo linafanyika kwa awamu  tatu mwaka huu, Luqman Maloto aliianika listi ya mastaa hao huku akiahidi kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani