HIKI NACHO NIKIPAJI AU NDIYO MWANZO WA UPANYA RODI
Hapa ni full kwida ni kukwide mambo ya kitaa hayo najua ulishapitia hizi pinde T-shirt ya mtumba hapo ilipata nyuki wa kutosha dawa yake hapa ukipata upenyo ni kukimbia tu kwani mtaani hakuna kutenganishwa mnapigana mwanzo mwisho kama nguvu zako ni sa soda ni bora ugeuke kunguru.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHAPO SASA PAKA RODI NA PANYA RODI
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Tofauti kati ya wenye nacho na wasio nacho hatari kwa amani
TANZANIA imepata kusifika duniani kwa amani iliyopo miongoni mwa wananchi na ukarimu kwa wageni. Wanapokuja hapa kwa madhumuni mbalimbali binafsi, kwa kiasi kikubwa ni kivutio kikubwa kimojawapo katika masuala ya...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Je, huu ndiyo mwanzo wa mwisho?
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.
Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.
Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;
Golikipa
Jack Butland -Stoke...
10 years ago
MichuziMorogoro Rodi ya Sasa inayoonekana
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
RIYAMA:Umbea Nikipaji....Chezea Vumba Sita Weye!!
MWIGIZAJI mahiri Riyama Ally, amesema baada ya kuigiza filamu nyingi za watu, safari hii ameamua kuonyesha upande wake wa pili baada ya kuandika muswada wa filamu yake mpya iitwayo ‘Msuto Daily’.
Riyama ameelezea filamu hiyo ambayo tayari imeshapelekwa sokoni, kuwa ni kazi ya mikono yake ambapo amejitahidi kuonyesha ubunifu kwa lengo la kushibisha soko lake.
“Msuto Daily ni kazi ya mikono yangu, nimetunga stori na kucheza kama mhusika mkuu. Ni filamu ya Kiswahili na imechezwa...
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
RIYAMA:Umbea Nikipaji....Chezea Vyumba Sita Weye!!
MWIGIZAJI mahiri Riyama Ally, amesema baada ya kuigiza filamu nyingi za watu, safari hii ameamua kuonyesha upande wake wa pili baada ya kuandika muswada wa filamu yake mpya iitwayo ‘Msuto Daily’.
Riyama ameelezea filamu hiyo ambayo tayari imeshapelekwa sokoni, kuwa ni kazi ya mikono yake ambapo amejitahidi kuonyesha ubunifu kwa lengo la kushibisha soko lake.
“Msuto Daily ni kazi ya mikono yangu, nimetunga stori na kucheza kama mhusika mkuu. Ni filamu ya Kiswahili na imechezwa...
10 years ago
MichuziAjali katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi Rodi Usiku huu
10 years ago
VijimamboAngalia walichokutana nacho angani hawa abiria wa ndege