Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPO SASA PAKA RODI NA PANYA RODI

snitch anapokuektia" na huku kitambo umechil unamsikilizia"anapojigamba yeye panya road" haelewi anachorwa tu na paka road"

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Morogoro Rodi ya Sasa inayoonekana

Muonekano mpya wa Barabara ya Morogoro Rodi jijini Dar baada ya kupigwa sop sop kufuatia mradi wa mabasi yaendayo kasi.

 

10 years ago

GPL

JIDE, GARDNER SASA PAKA NA PANYA

Stori: Richard Bukos
PAMOJA na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G. Habash’ na ‘mtalaka’ wake, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, Jumamosi iliyopita walifanya tukio lililowashangaza watu kufuatia kila mmoja kuingia ukumbini akiwa na kampani yake na kukwepana kama paka na panya, Amani liliwanasa kwa vile...

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NACHO NIKIPAJI AU NDIYO MWANZO WA UPANYA RODI

Hapa ni full kwida ni kukwide mambo ya kitaa hayo najua ulishapitia hizi pinde T-shirt ya mtumba hapo ilipata nyuki wa kutosha dawa yake hapa ukipata upenyo ni kukimbia tu kwani mtaani hakuna kutenganishwa mnapigana mwanzo mwisho kama nguvu zako ni sa soda ni bora ugeuke kunguru.

 

10 years ago

Michuzi

Ajali katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi Rodi Usiku huu

 Gari aina ya Toyota Rav4 yenye nambari za usajli T 141 AHS likiwa katika mtaro wa katikati ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi,Maeneo ya Namanga mara baada ya kugongana kwa ubavuni na Gari nyingine aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo wasi waliokuwa nao Madereva wa magari hayo,hali iliyopelekea hiyo Vits kuigonga kwa hiyo Rav4 na zote kutoteza mwelekeo na kwenda kuingia mitaroni.Madereva wa Magari yote walitoka salama salimi. Gari aina ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto anafanya mchezo wa panya kwa paka?

PANYA na paka ni maadui ambao kamwe hawawezi kukaa pamoja. Palipo na paka, panya lazima ajifiche vinginevyo ataliwa. Lakini ukimwona panya anachezea mbele ya paka jua kwamba kuna shimo karibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzazi unamwitaje mtoto wako panya, mjusi, paka?

Unashtuka? Kuna mtu anaitwa Panya Mjusi. Panya ni jina lake na Mjusi ni la baba yake. Kwa miaka zaidi ya 20 sasa ameendelea kutumia majina hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

SIMULIZI: Dullah: Natamani ningezaliwa paka nikamate panya

>Kila sherehe inahitaji maandalizi japo kidogo kulingana na kiwango cha fedha walichonacho waandaaji. Kwa mfano kufanya harusi unahitaji vikao, michango na mambo mengine kama hayo.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani