Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soggy Doggy - Kibanda cha simu hii hapa nyingine kwa wale wa kipindi hicho unakumbuka?

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

10 years ago

Bongo5

Soggy Doggy adai mashabiki wa sasa wanapenda ‘kutazama kuliko kusikiliza’

Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema wimbo wake ‘Nafunga Zipu’ ulishindwa kufanya vizuri kwakuwa ulikosa video. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa mashabiki wa sasa wanapenda kuangalia kuliko kusikiliza. “Kwetu Studio ndio walikuwa na kazi yetu lakini baada ya kupata matatizo ya kuibiwa vifaa vyao vya studio, wakawa wameibiwa na material ya kazi yetu, […]

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Soggy Doggy awakusanya Nature, Inspekta, Suma G kwenye ngoma mpya

Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema yupo mbioni kuachia ngoma mpya na wasanii wakongwe wenzie, Juma Nature, Inspekta Haroun, Suma G na Hammer Q. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa ngoma hiyo imetayarishwa na Q the Don. “Tangu nimerudi kuishi Dar nimeshaenda studio za Majani sana. Zaidi ya muziki natarajia zaidi kurekodi lakini kuna […]

 

10 years ago

Vijimambo

Marudio ya kipindi cha Mishumaa ya Kale Ijumaa hii........sikiliza hapa


Hiki ni kipindi cha Ijumaa Machi 20, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani