LINAH:NAFUNGA NDOA SOON
![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhOtwxjgb5-X3k2AnFkc12uE*17R3u1D5f3QnQqKR6vx87jU5-pr20fyFQ7RQII1pvMlpxwBIwFr*TlRQzN7ekWG/linah.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja MSANII mwenye sauti mwanana anayetesa kwenye Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’, amefunguka kuwa, ndoa yake na mpenzi wake Nagari Kombo ‘Kaka wa Bongo’ inanukia. Linah akipozi na mpenzi wake Nagari Kombo wakati wa utoaji tuzo za Kili. Linah alisema hayo wikiendi iliyopita aliponaswa akijiachia na Kaka wa Bongo katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar ambapo mpango mzima wa Tuzo za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-h7BG5NPyFXc/VTYr-8s8c5I/AAAAAAAABVw/aoZcuXVUn1s/s72-c/nafunga%2Bzipu%2Bartwork.png)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ2jYXNGldWP3R6QzRRyJSNLFkc-jzdaGWm1H7Xoa908bbKbGbohvauTMBGu8SowiXQWYW5cdtycWLcSHO2nniIu/banza.jpg)
BANZA: MWAKA HUU NAFUNGA MWANZO MWISHO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-I26kTZuhyY0/VdpU44XREXI/AAAAAAAADKw/t1zw5lxJF2g/s72-c/2015-08-22%2B12.59.00.jpg)
"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-I26kTZuhyY0/VdpU44XREXI/AAAAAAAADKw/t1zw5lxJF2g/s640/2015-08-22%2B12.59.00.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OM1nQVXWg4E/VYQmjvclSjI/AAAAAAAHhfM/l8eTk9FtXSo/s72-c/1.jpg)
SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni
KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/p240x240/11200587_909761035753767_7843757387391072959_n.jpg?oh=4ca697f286dccbefbfa5b80acd7b4563&oe=55C83211)
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
11 years ago
Michuzi11 Jun