Aslay atoa sababu ya kuikimbia nyumba ya Mkubwa na Wanawe
Aslay amefunguka sababu iliyomfanya aondoke kwenye nyumba ya kituo cha Mkubwa na Wanawe,ambapo alipokuwa anaishi Waimbaji wenzake.
Hitmaker huyo wa ‘Angekuona’, amekiambia kipindi cha ‘On The Eight’ cha TVE kuwa hakuna matatizo yoyote yaliyomsababisha kuondoka katika kituo hicho bali aliamua kuifuata familia yake ili aweze kuishi nayo kwa ukaribu, tofauti na watu wengi wanavyofikiria.
Muimbaji huyo ameongeza kuwa zamani alijisahau zaidi katika muziki, lakini kwa sasa amepanga kujibrand yeye...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s72-c/IMG_6381.jpg)
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s640/IMG_6381.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Mkubwa na Wanawe kuzindua bendi
KITUO cha kuvumbua vipaji cha Mkubwa na Wanawe cha Temeke, jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuzindua bendi yake ya muziki wa dansi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Baby J atua ‘Mkubwa na Wanawe’
NA CHRISTOPHER MSEKENA
LICHA ya kuwa na kipaji msanii ni lazima uwe chini ya uongozi na usimamizi mzuri wa kazi zako ili uyafikie mafanikio, hii ameitambua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’, mara baada ya kutangaza kuwa chini ya kituo cha Mkubwa na Wanawe.
Akizungumzia maamuzi yake hayo, Baby J, alisema kwa muda mrefu amekuwa akifanya kazi zake bila ya kuwa na uongozi kitu kilichompotezea muda na kuyachelewesha mafanikio yake licha ya kuwa na kipaji.
“Wasanii wote...
11 years ago
Michuzi12 May
9 years ago
Bongo501 Oct
Said Fella amvuta Baby J Mkubwa na Wanawe
10 years ago
CloudsFM31 Mar
Dogo Aslay:Mkubwa Fella ndiye mtunzi wa ngoma ya ‘nitakupwelepweta’
Mkali kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye utata ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya ‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said Fella’’Mkubwa Fella’’.
Alisema kuwa ngoma hiyo siyo kwamba ujumbe wake wameimbiwa wanawake peke yao kama ambavyo watu wengi wanavyohani lakini pia wanaume watu wazima wenye tabia ya kutembea na wasichana na wavulana wenye umri...
11 years ago
GPL18 Jun
9 years ago
Global Publishers06 Jan
New Video: Salamu TMK (Mkubwa na Wanawe) ~ Nafsi
Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe.
Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa Nasfi.
10 years ago
Jamtz.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-EN_hy7_zixY/VCWPbGHvKjI/AAAAAAAABLM/ST9rnZJGwxs/s72-c/Mkubwa%2Bna%2BWanawe.jpg)