Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Introducing Mkubwa na Wanawe & Shirko

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

Mkubwa na wanawe & High Class Look watoa msaada kituo cha watoto yatima Hazina Mbagala Maji Matitu

IMG_4716

 

Mkubwa Fella akikabidhi kiroba cha Sembe kwa Bi Hawa Mmiliki wa Kituo cha watoto yatima Hazina kilichopo Mbagala maji Matitu.

IMG_4727 (1)

Picha ya pamoja na watoto hao.

   

IMG_4755

Vijana wa Yamoto Band Wakitoa Burudani kwa watoto hao.

Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwakupitia yeye aliye Muweza wa yote, Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na wanawe mpaka kufikia...

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

 

9 years ago

Mtanzania

Baby J atua ‘Mkubwa na Wanawe’

Baby JNA CHRISTOPHER MSEKENA

LICHA ya kuwa na kipaji msanii ni lazima uwe chini ya uongozi na usimamizi mzuri wa kazi zako ili uyafikie mafanikio, hii ameitambua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’, mara baada ya kutangaza kuwa chini ya kituo cha Mkubwa na Wanawe.

Akizungumzia maamuzi yake hayo, Baby J, alisema kwa muda mrefu amekuwa akifanya kazi zake bila ya kuwa na uongozi kitu kilichompotezea muda na kuyachelewesha mafanikio yake licha ya kuwa na kipaji.

“Wasanii wote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkubwa na Wanawe kuzindua bendi

KITUO cha kuvumbua vipaji cha Mkubwa na Wanawe cha Temeke, jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuzindua bendi yake ya muziki wa dansi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Said Fella amvuta Baby J Mkubwa na Wanawe

Said Fella ameamua kumchukua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Baby J kwenye himaya yake ya Mkubwa na Wanawe. Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale ambaye amekuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na Fella ametoa taarifa hiyo kupitia Instagram. “Nipo na mkali wa kike pekee aliyebaki znz kwa kuona ujuzi wake mkubwa na wanawe imemchukua ili kulinda […]

 

9 years ago

Global Publishers

New Video: Salamu TMK (Mkubwa na Wanawe) ~ Nafsi

Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe.

Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa Nasfi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani