Maisha sasa ni Murua na Vodacom
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL10 years ago
Vijimambo02 Jan
PROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazila”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika...
10 years ago
MichuziPROF J AFUNIKA TAMASHA LA "VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH”
Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015 jana.
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015...
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015...
10 years ago
GPLPROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi laâ€Vodacom Maisha ni Muruaâ€lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.…
10 years ago
Bongo531 Dec
Professor Jay, Chege na Temba kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Maisha Murua’ la Vodacom
Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam. Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili […]
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Timka na Bodaboda Vodacom yabadili maisha ya wateja 600
“NI furaha kwa sababu tumetimiza azma yetu ya kubadili maisha ya Watanzania. Promosheni hii imewanufaisha takribani wateja 600 wakiwemo wa bodaboda na wa fedha taslimu zaidi ya sh milioni 200.”...
9 years ago
MichuziVODACOM YAJIZATITI KUBADILISHA MAISHA YA WATANZANIA KUPITIA TEKNOLOJIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari alipokuwa akitangaza mikakati ya kampuni hiyo kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa teknolojia na itakavyotumia kubadilisha maisha ya watanzania na kuwa bora zaidi.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakiwa katika mkutano wa waandishi wa habari na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ian Ferrao (hayupo pichani)alipokuwa...
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma
Zaidi ya wateja milioni 11 wa huduma za M-pesa na Tigo Pesa nchini, wanatarajiwa kunufaika na gharama nafuu za kutuma fedha baina ya mitandao hiyo kuanzia mwaka huu.
10 years ago
MichuziVODACOM YAWALILIA MASHABIKI WA SIMBA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI MOROGORO
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetuma salama za rambirambi kwa familia za washabiki wa timu ya Simba waliopoteza maisha katika ajali ya gari jana mkoani Morogoro wakiwa safarini kuelekea mkoani Shinyanga kuishangilia timu yao dhidi ya Kagera Sugar.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Matina Nkurlu katika taarifa yake aliyoitoa kwa niaba ya kampuni amesema kuwa msiba huu ni mzito kwa watanzania na wapenzi wa soka kwa ujumla.
“Vodacom Tanzania kama mdhamini Mkuu wa ligi kuu ya soka ya...
Meneja Uhusiano wa Vodacom Matina Nkurlu katika taarifa yake aliyoitoa kwa niaba ya kampuni amesema kuwa msiba huu ni mzito kwa watanzania na wapenzi wa soka kwa ujumla.
“Vodacom Tanzania kama mdhamini Mkuu wa ligi kuu ya soka ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania