PROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi laâ€Vodacom Maisha ni Muruaâ€lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Jan
PROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazila”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika...
10 years ago
MichuziPROF J AFUNIKA TAMASHA LA "VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH”
Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015 jana.
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015...
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015...
11 years ago
GPLTAMASHA LA VODACOM BOMBASTIK LAFANA COCO BEACH, JIJINI DAR
Adamu Hamis akifanya makamuzi ya aina yake. Dj Dee Ommy na Dj PQ wakisababisha kwenye moja na mbili. Mashabiki…
10 years ago
Bongo531 Dec
Professor Jay, Chege na Temba kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Maisha Murua’ la Vodacom
Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam. Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili […]
10 years ago
MichuziDiamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la jiji kutokana na kuwa na burudani za...
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPL10 years ago
GPLVODACOM YANOGESHA SHOO YA PASAKA COCO BEACH
Mwanamuziki Bob Junior na madansa wake wakitoa burudani kwa mashabiki waliofurika katika ufukwe wa Coco jijini Dar kusherehekea Sikukuu ya Pasaka jana. Shoo hiyo ilidhaminiwa na kampuni ya Vodacom Tanzania.
Mashabiki wakifuatilia burudani katika ufukwe wa Coco jijini Dar. Ma DJ wakiwa kazini kuwapa raha…
11 years ago
GPLUMATI WAFURIKA TAMASHA LA COCA COLA HUKO COCO BEACH DAR
 Msanii Vannesa Mdee au Vee Money akioneha ujuzi wake stejini. Joh Makini akiwapagawisha mashabiki katika viwanja vya Coco Beach.   Mashabiki wakionyesha kufurahishwa na burudani zilizokuwa zikitolewa na baadhi a…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania