Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Professor Jay, Chege na Temba kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Maisha Murua’ la Vodacom

Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam. Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH

Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazila”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika...

 

10 years ago

GPL

PROF J AFUNIKA TAMASHA LA “VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH

Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua”lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka2015 jijini Dar es Salaam jana.…

 

10 years ago

Michuzi

PROF J AFUNIKA TAMASHA LA "VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH”

Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015  jana.
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29…

Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni Mikumi Morogoro. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mbunge huyo aliandika..’Asante sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu nimezaliwa …. I dedicate this birthday kwa […]

The post Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj, Usher na mastaa wengine kutumbuiza kwenye show ya charity ya Tidal

Baada ya mtandao wa Tidal kufikisha zaidi ya watumiaji milioni moja, Jay Z aliahidi kusheherekea na sasa ametangaza shangwe hizo zitakuwa lini na wapi. Jay ametangaza show za charity za TIDAL X: 1020 ambapo kwa mara ya kwanza itafanyika Oct. 20 kwenye uwanja/ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn. Pamoja na Jay Z mwenyewe, mastaa wengine watakaotumbuiza […]

 

11 years ago

Bongo5

Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)

Rapper mkongwe Professor Jay anatarajia kushoot video ya single yake ya sasa ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz weekend hii. Kupitia Instagram Jay ametoa mwaliko kwa shabiki wake yeyote atakayependa kuonekana kwenye video hiyo itakayoanza kurekodiwa Jumamosi hii (July 12). “KINGS and QUEENS wote Mnakaribishwa kwenye Video shooting ya KIPI SIJASIKIA, MUHIMU; Vigezo na Masharti Kuzingatiwa!!!” […]

 

11 years ago

Bongo5

Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay

Wasanii kibao walijitokeza kumsapoti Professor Jay kwenye uzinduzi wa video zake mbili Jumamosi hii. Soggy Doggy,Wakazi na TID ni baadhi ya wasanii waliotumbuizam Tazama ilivyokuwa. TID aikiimba wimbo wa Missing You wa KC & JOJO TID na Wakazi wakitoa Freestyle Soggy Doggy akitumbuiza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani