Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma

Zaidi ya wateja milioni 11 wa huduma za M-pesa na Tigo Pesa nchini, wanatarajiwa kunufaika na gharama nafuu za kutuma fedha baina ya mitandao hiyo kuanzia mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto, aliyekaa) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kulia, aliyekaa), wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni yao kupitia huduma ya M-Pesa na Tigopesa. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Vodacom Tanzania, Ngayama Matongo na kulia ni Meneja wa Chapa ya Tigo, William Mpinga.Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom...

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutia saini makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea  fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na kampuni yake kupitia huduma ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa. Anayeshuhudia kulia ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya M-Pesa ya Vodacom Sasa Ulimwengu Mzima.


Zaidi ya nchi 200 zitaweza kutuma na kupokea fedha kupitia M-Pesa - Huduma za fedha kupitia simu za mkononi kuchochea ukuaji wa uchumi Afrika 

Juni 16 2020, Dar es Salaam: Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini kupitia huduma ya kifedha ya Vodacom M-Pesa leo imetangaza kuongezeka kwa mfuko wake wa huduma za kutuma na kupokea fedha kimataifa. Wateja wa Vodacom sasa watakuwa na uwezo na nafasi ya kutuma na kupokea fedha kutoka kwa wenzao katika nchi zaidi ya 200 duniani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%

2

Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.

3

Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yatenga Shilingi bilioni 12.6 kuunganisha kanda ya Ziwa

IMG_9612

Meneja mkuu wa kampuni ya Tigo, Diego Gutierez akifafanua jambo alipozungumza na wahariri wa kanda ya Ziwa jana kuhusiana na jinsi ambavyo Tigo imejipanga kuwekeza zaidi ya Sh2.6 bilioni katika kanda ya ziwa kwa mawaka huu.

Kampuni ya simu nza mkononi ya imetenga jumla ya shilingi bilioni 2.6 kwa ajili ya kuwekeza katika ujenzi wa minara mipya na kuboresha utoaji hudumakwa mikoa ya kanda ya ziwa kwa mwaka 2015.

Akiongea na waandishi wa Habari wa mkoa wa Mwanza leo, Meneja mkuu wa kampuni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao

1

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.

Tigo Tanzania leo imekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua HOME Wi-Fi, huduma ya Internet kuunganisha familia nzima kwa kifurushi kimoja tu

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi,Gaurav Dhingra.Meneja Masoko wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HOME WI-FI, HUDUMA YA INTERNET KUUNGANISHA FAMILIA NZIMA KWA KIFURUSHI KIMOJA TU‏

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani