HUDUMA YA SIMBA NEWS SASA KUPATIKANA KWA WATEJA WA VODACOM PIA

GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Vodacom na mapinduzi ya huduma kwa wateja
MWISHONI mwa miaka ya 1990, Tanzania iliingia katika orodha ya nchi zinazotumia mawasiliano ya simu ya mkononi. Katika miaka hiyo, huduma ya simu za mkononi ilionekana ni ya wachache sana,...
11 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja




11 years ago
Michuzi06 Oct
11 years ago
Michuzi
Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku
"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw.Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Mbali na kufadhili...
Mbali na kufadhili...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam
Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.
Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...
10 years ago
MichuziMAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA
11 years ago
GPLVODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE
Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(katikati)akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na Bw.Davis Mkonyi(kulia)wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.… ...
10 years ago
GPL
MKUU WA WILAYA TEMEKE ASHAURI VODACOM KUSAMBAZA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Shophia Mjema wa kwanza (kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Mbagala zakiemu jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.Hafla hiyo imefanyika leo. Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo… ...
10 years ago
Michuzi
Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom

Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Pata habari za klabu ya Simba’ ambayo itawawezesha wateja wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata habari zinazohusiana na klabu ya Simba popote watakapokuwa hapa nchini.
Kampuni nyingine shirika katika kufanikisha huduma hii ni Premier mobile solution na EAG Group.Huduma hii mpya ya ‘Pata habari za klabu ya Simba’ni rahisi na ya ufanisi mkubwa kuwawezesha wateja...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania