Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-hjddvqSdx_8/UwnBB1gBJgI/AAAAAAAFO3E/3ui7tQTmXRc/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara. Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma
WATEJA wa Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi yao, ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TGgojEojrMw/Xk_pqK1TfOI/AAAAAAALetM/xs1pitK35CcWa7uhHnIRF7eGiYnVCnbvwCLcBGAsYHQ/s72-c/0003.jpg)
Vodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
![](https://1.bp.blogspot.com/-TGgojEojrMw/Xk_pqK1TfOI/AAAAAAALetM/xs1pitK35CcWa7uhHnIRF7eGiYnVCnbvwCLcBGAsYHQ/s640/0003.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-oX_6U4rMoAs/Xk_pqNnbVOI/AAAAAAALetI/zSdfqhJ26g4TQhs5xhFmrgiCfP3mxwB7ACLcBGAsYHQ/s640/000066.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-sXwV_iht6ao/Xk_pqMCHetI/AAAAAAALetE/Lsatc2bh6n0kA_j6VAMhA1dXmxdbsheYACLcBGAsYHQ/s640/000077.jpg)
11 years ago
GPLVODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Shirika la Posta lajipanga kupanua wigo wa huduma
KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Posta Duniani (UPU) mtandao wa mawasiliano kwa njia ya Posta unajumuisha ofisi za posta 660,000 zenye uwezo wa kusambaza wastani wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-D3lacmOEXz0/U_SXOojZ9wI/AAAAAAAGA5g/rRCeYG-2M7U/s72-c/004.jpg)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-D3lacmOEXz0/U_SXOojZ9wI/AAAAAAAGA5g/rRCeYG-2M7U/s1600/004.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kEpw8MMJLyw/U_SXRz0dGQI/AAAAAAAGA50/_wb7wyKVLgY/s1600/006.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOrAXqFClet9mVhpHYYb2IrbqSSLxy5n4FOHD1pqLpnKnYDOmfsKoB4QCjuTFTlCgXxalQtu7aQlR0Pdqn4ydBC/001.jpg?width=650)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PuaM388LPz8/Xs4eAiUdf_I/AAAAAAAEHVQ/sgKzNHGLPMAj0ZD0n1oPZoezMLMh0A56gCK4BGAsYHg/s72-c/Arusha%2BTusua%2Bmapene2.jpg)
Vodacom yaendelea kuwezesha wateja wake kwa Kutusua Mapene
Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Unaponunua tiketi, moja kwa moja unaingia...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Vodacom na mapinduzi ya huduma kwa wateja
MWISHONI mwa miaka ya 1990, Tanzania iliingia katika orodha ya nchi zinazotumia mawasiliano ya simu ya mkononi. Katika miaka hiyo, huduma ya simu za mkononi ilionekana ni ya wachache sana,...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
Maadhimisho ya wiki huduma kwa wateja wa Tigo yaendelea leo
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja wa tigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Dula la Tigo Nkurumah.
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo.
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Duka la Tigo...