Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA

  Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu toka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)Moreme Marwa.  Mmoja wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutia saini makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea  fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na kampuni yake kupitia huduma ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa. Anayeshuhudia kulia ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego...

 

9 years ago

GPL

VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania (BoT) Bernard Dadi (katikati) na Makamu wa Rais wa Moneygram Afrika, Herve Chomel(kulia) wakimshuhudia Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt( kushoto) akisaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram (Monegram M-Pesa) ambayo itawanufaisha wateja...

 

9 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutoka kushoto Anna Msinde,Mwanaidi Khaji na Mariam Rajabu wakielekezwa na Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Athuman Mwakipesile(kulia) jinsi ya kujiunga na huduma ya M-Pawa inayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kupata riba na mikopo ya bei nafuu kupitia simu zao za mkononi wakati wa kongamano la wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji(Financial and Investment Service fair) lililofanyika katika...

 

10 years ago

GPL

VODACOM KUJIKITA ZAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa  (wa pili kutoka kulia) akisaini mkataba wa miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma

WATEJA wa Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi yao, ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo kuwekeza dola milioni 1 kupanua huduma zake Zanzibar

TigoGM-edited2

Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano.

Tigo Tanzania imepanga mwaka huu kujenga minara 10 mipya ya simu yenye thamani ya dola milioni moja (1) katika visiwa vya Zanzibar kama moja ya mikakati yake ya upanuzi wa huduma zake nchini.

Hii ilitangazwa leo na Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano wakati alipotembelea Zanzibar kwa mara ya kwanza kukutana na wadau wa kampuni kisiwani hapo.

Bi. Tiano alisema kwamba minara hii mipya 10 ni uwekezaji mkubwa ambao kampuni hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

BoT: Kuboresha huduma za kifedha ngazi ya kaya

Ushiriki na kuwajumuisha watu wengi zaidi katika utumiaji wa huduma za kifedha ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi kwa lengo la kuboresha ustawi wa watu binafsi, kaya na shughuli za kibiashara.

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam

Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.   Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani