Tigo kuwekeza dola milioni 1 kupanua huduma zake Zanzibar
Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano.
Tigo Tanzania imepanga mwaka huu kujenga minara 10 mipya ya simu yenye thamani ya dola milioni moja (1) katika visiwa vya Zanzibar kama moja ya mikakati yake ya upanuzi wa huduma zake nchini.
Hii ilitangazwa leo na Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano wakati alipotembelea Zanzibar kwa mara ya kwanza kukutana na wadau wa kampuni kisiwani hapo.
Bi. Tiano alisema kwamba minara hii mipya 10 ni uwekezaji mkubwa ambao kampuni hiyo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-D3lacmOEXz0/U_SXOojZ9wI/AAAAAAAGA5g/rRCeYG-2M7U/s72-c/004.jpg)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-D3lacmOEXz0/U_SXOojZ9wI/AAAAAAAGA5g/rRCeYG-2M7U/s1600/004.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kEpw8MMJLyw/U_SXRz0dGQI/AAAAAAAGA50/_wb7wyKVLgY/s1600/006.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOrAXqFClet9mVhpHYYb2IrbqSSLxy5n4FOHD1pqLpnKnYDOmfsKoB4QCjuTFTlCgXxalQtu7aQlR0Pdqn4ydBC/001.jpg?width=650)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Tigo kupanua upatikanaji wa huduma za mawasiliano mikoa ya kusini
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Cecile Tiano (mwenye miwani) na Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Iringa, John Kiteve (wa pili kulia) wakikata utepe kwa pamoja kuzindua rasmi mnara wa kisasa wa mawasiliano katika kijiji cha Maagubike, Iringa Vijijijini.
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Cecile Tiano (katikati) akisoma hotuba yake mara baada ya kampuni hiyo ya mawasiliano kuzindua mnara wake wa masiliano katika kijiji cha Maagubike, Iringa Vijijijini mwishoni mwa wiki.
Mrajisi wa Vyama vya...
10 years ago
Dewji Blog02 Feb
Tigo kuwekeza dola million 30 kanda ya kaskazini mwaka 2015
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano (kulia) akiongea na waandishi wa habari Mkoani Arusha (hawapo pichani), wakati wa kutangaza kuongeza kwa uwekezaji wa dola za kimarekani milioni 30 kwa mikoa ya kanda ya Kaskazini mwishoni mwa wiki, kulia kwake ni Meneja Mkuu wa kanda hiyo David Charles.
Kaimu Meneja mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano, ameelezea nia ya kampuni yake kuongeza uwekezaji katika mikoa ya kanda ya kaskazini kwa kiasi cha dola za kimarekani milioni 30 alipokuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Cxf_Sq4ncTo/VWK9kkme6TI/AAAAAAAHZjg/xI2itwy_CWs/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
KAMPUNI YA SHELTER AFRIQUE YATOA DOLA MILIONI 1 KUWEKEZA NDANI YA TMRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-Cxf_Sq4ncTo/VWK9kkme6TI/AAAAAAAHZjg/xI2itwy_CWs/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zCCTWs2RzD8/VWK9kl12DgI/AAAAAAAHZjY/-aymhygbeo8/s640/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Tanzania kuwekeza dola milioni 120 katika mtandao wake 2015
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akiongea na waandishi wa habari kuhusu kampuni yake itakavyowekeza mwaka huu, Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.
Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi cha dola milioni 120 (Shilingi bilioni 221) mwaka huu kwa ajili ya upanuzi wa mtandao wake utakao ongeza ufanisi wa huduma zake nchini.
Akizungumza mipango hiyo ya kampuni kwa mwaka 2015, Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Bi.Cecile Tiano alisema kwamba uwekezaji wa mwaka huu ni ishara...
11 years ago
Habarileo13 May
Tigo yaboresha huduma zake
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Tigo Tanzania, imezindua huduma mpya ya kutuma na kupokea fedha kwa njia rahisi na ya ufanisi zaidi kwa wateja wenye simu zenye programu aina ya android na iOS, ambayo ni huduma ya kwanza ya aina hiyo Afrika Mashariki.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAEyaLoFQ1NhW6FljoM3JzL5WKTLH3HPLviuGV7lgDoJtsv2Po5GEPwmfJxmwm3mrpuu4xg4fgPFmYgpKJCSUf3px/1.jpg?width=650)
TIGO YASOGEZA HUDUMA ZAKE KARIBU KWA WAKAZI WA SONGEA
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!
[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.
Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10