KAMPUNI YA SHELTER AFRIQUE YATOA DOLA MILIONI 1 KUWEKEZA NDANI YA TMRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-Cxf_Sq4ncTo/VWK9kkme6TI/AAAAAAAHZjg/xI2itwy_CWs/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya mikopo ya nyumba ya Tanzania Mortgage Refinance (TMRC), Oscar Mgaya (kulia) akipokea jijini Dar es Salaam, mfano wa hundi ya Dola za Kimarekani milioni moja kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SHELTER AFRIQUE, James Mugerwa (wa pili kushoto), baada ya kampuni hiyo kununua hisa asilimia 11.6 katika TMRC. Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Fedha Mkuu wa TMRC, Oswald Urassa na Mkurugenzi wa Uendeshaji na Mfumo Habari wa taasisi hiyo, Shabani Mande.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
Tigo kuwekeza dola milioni 1 kupanua huduma zake Zanzibar
Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano.
Tigo Tanzania imepanga mwaka huu kujenga minara 10 mipya ya simu yenye thamani ya dola milioni moja (1) katika visiwa vya Zanzibar kama moja ya mikakati yake ya upanuzi wa huduma zake nchini.
Hii ilitangazwa leo na Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano wakati alipotembelea Zanzibar kwa mara ya kwanza kukutana na wadau wa kampuni kisiwani hapo.
Bi. Tiano alisema kwamba minara hii mipya 10 ni uwekezaji mkubwa ambao kampuni hiyo...
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Tanzania kuwekeza dola milioni 120 katika mtandao wake 2015
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akiongea na waandishi wa habari kuhusu kampuni yake itakavyowekeza mwaka huu, Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.
Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi cha dola milioni 120 (Shilingi bilioni 221) mwaka huu kwa ajili ya upanuzi wa mtandao wake utakao ongeza ufanisi wa huduma zake nchini.
Akizungumza mipango hiyo ya kampuni kwa mwaka 2015, Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Bi.Cecile Tiano alisema kwamba uwekezaji wa mwaka huu ni ishara...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KgJ4JIA3JmE/U_R7JgtM_bI/AAAAAAAGA3c/bHs6_-AoNmE/s72-c/unnamed.jpg)
MHE. BALOZI BATILDA S. BURIAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MPYA WA TAASISI YA “SHELTER AFRIQUE”, NAIROBI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-KgJ4JIA3JmE/U_R7JgtM_bI/AAAAAAAGA3c/bHs6_-AoNmE/s1600/unnamed.jpg)
======= ======= ======= =======
Bw. James Mugerwa, Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Taasisi ya Shelter Afrique yenye makao yake makuu hapa jijini Nairobi alimtembelea Mhe. Balozi Batilda ofisini kwake kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_3FDwBPN5zQ/XuISMkYsIsI/AAAAAAAEHts/8Qn6LVzuTKsBMbweYEAZ34PzwDCu6L_3ACLcBGAsYHQ/s72-c/imf.png)
IMF YATOA DOLA MILIONI 14.3 KWA TANZANIA
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha kutoa msaada wa Dola za kimarekani Million 14. 3 kwa Tanzania na hiyo kupitia kikao cha bodi ya wakurugenzi kilichokaa jana Juni 10.
Kupitia mfuko wake wa kupambana na maafa(CCRT ) IMF imeisamehe Tanzania kiasi cha mkopo cha Dola za kimarekani milioni 14. 3 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo kuanzia sasa mpaka tarehe Oktoba 13, 2020.
Imeelezwa kuwa hiyo ni katika kunusuru uchumi wa Tanzania...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100
![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya Serikali na...
11 years ago
Habarileo13 May
UNDP yatoa dola milioni 22 kwa uchaguzi mkuu
SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limetenga dola za Marekani milioni 22 kwa ajili ya kuunga mkono utoaji elimu kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini. Kiongozi wa shirika hilo, Helen Clark aliuambia Umoja wa Wanawake Wabunge leo mjini hapa kwamba fedha hizo zitatolewa chini ya Mradi wa Uchaguzi unaoendeshwa na shirika lake.
5 years ago
CCM BlogMAREKANI YATOA DOLA MILIONI 3.6 KUPAMBANA NA CORONA TANZANIA
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni jambo...
5 years ago
MichuziSerikali ya Marekani yatoa Dola milioni 3.6 kupambana na Covid-19 Tanzania.
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya...