MAREKANI YATOA DOLA MILIONI 3.6 KUPAMBANA NA CORONA TANZANIA
Serikali ya Marekani imetenga kiasi cha dola millioni3.6 ( Shilling billioni 7.8) kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Tanzania katika mapambano dhidi ya janga la Korona (COVID-19)
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni jambo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSerikali ya Marekani yatoa Dola milioni 3.6 kupambana na Covid-19 Tanzania.
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_3FDwBPN5zQ/XuISMkYsIsI/AAAAAAAEHts/8Qn6LVzuTKsBMbweYEAZ34PzwDCu6L_3ACLcBGAsYHQ/s72-c/imf.png)
IMF YATOA DOLA MILIONI 14.3 KWA TANZANIA
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha kutoa msaada wa Dola za kimarekani Million 14. 3 kwa Tanzania na hiyo kupitia kikao cha bodi ya wakurugenzi kilichokaa jana Juni 10.
Kupitia mfuko wake wa kupambana na maafa(CCRT ) IMF imeisamehe Tanzania kiasi cha mkopo cha Dola za kimarekani milioni 14. 3 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo kuanzia sasa mpaka tarehe Oktoba 13, 2020.
Imeelezwa kuwa hiyo ni katika kunusuru uchumi wa Tanzania...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/4q5rpFEVtGc/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Marekani yacharuka escrow;Tanzania yakosa mabilioni ya MCC, ni Dola 450 milioni
5 years ago
CCM Blog23 May
MAREKANI KUIPATIA TANZANIA BIL. 5.6 KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/Screenshot-2020-05-22-at-14.40.32-660x400.png)
10 years ago
VijimamboWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLAâ€
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana, kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
10 years ago
GPLWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Serikali ya Marekani yazindua mradi wa dola milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa unaolenga kujenga uwezo wa uhifadhi na kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa wanyamapori nchini kote Tanzania,uzinduzi huu ulifanyika jana katika eneo la hifadhi ya wanyamapori linalosimamiwa na jumuiya ya uhifadhi ya wanyamapori {WMA} la Randilen linalopakana na hifadhi ya taifa...