Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREKANI KUIPATIA TANZANIA BIL. 5.6 KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA


Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 2.4 (Takriban Shilingi za Kitanzania bilioni 5.6), ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya nchini Tanzania ambapo msaada huu unalenga kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, kusaidia jitihada za utoaji taarifa, miradi ya maji na usafi wa mazingira, kuzuia na kudhibiti maambukizi, kutoa elimu ya afya kwa umma na miradi mingine.Fedha hizi ni nyongeza ya msaada...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MAREKANI YATOA DOLA MILIONI 3.6 KUPAMBANA NA CORONA TANZANIA


 Serikali ya Marekani imetenga kiasi cha dola millioni3.6 ( Shilling billioni 7.8) kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Tanzania katika mapambano dhidi ya janga la Korona (COVID-19)
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni jambo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kusaidia kupambana na Ebola

Marekani imesema itapeleka vifaa vya kijeshi, kusaidia kupambana na ugonjwa wa Ebola uliozuka katika nchi za Afrika Magharibi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kusaidia UG kupambana na Kony

Serikali ya Marekani inatuma ndege ya kivita na wanajeshi kusaidia UG kumsaka kiongozi wa kundi la Lord's Resistance Army, Joseph Kony.

 

5 years ago

Michuzi

RC HAPI APOKEA MSAADA KUTOKA KWA QWIHAYA KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akikabidhiwa msaada wa kusiadia kujikinga na virusi vya corona na mkurugenzi wa kampuni hiyo Leonard Mahenda vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi.Moja ya vitu vilivyotolewa na mkurugenzi wa kampuni hiyo Leonard Mahenda kwa ajili ya kusaidia kupambana na maambukizi ya Corona mkoani Iringa
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
 Kampuni ya uzalizaji wa nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises imekabidhi msaada wa zaidi ya shilingi milioni kumi kwa mkuu wa mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yachangia Shilingi Billion 2 kusaidia juhudi za serikali kupambana na COVID - 19

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Watatu kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Marekani yatoa Dola milioni 3.6 kupambana na Covid-19 Tanzania.

 Serikali ya Marekani imetenga kiasi cha dola millioni3.6 ( Shilling billioni 7.8) kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Tanzania katika mapambano dhidi ya janga la Korona (COVID-19)

Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.

Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni...

 

5 years ago

Michuzi

Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona

KATIKA siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona.
Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya kirusi cha corona. Hospitali hiyo inayokadiriwa kuwa itagharimu shilingi bilioni 7 za Kitanzania inatarajiwa kumalizika ndani ya miezi sita. 
Mbali na hilo, ni faraja kubwa kuona nchi mbalimbali zinakuja pamoja kuhakikisha maisha...

 

5 years ago

Michuzi

BRIGHTERMONDAY TANZANIA YAJA NA MPANGO KUSAIDIA BIASHARA KIPINDI CHA CORONA


Reshma Bharmal-Shariff, Ofisa Mtendaji Mkuu BrighterMonday Tanzania.
KAMPUNI ya ajira ya BrighterMonday Tanzania imezindua mpango unaoitwa 'Umoja Wakati wa Shida ' ambao utatoa nafasi kwa watu binafsi au kampuni kutangaza ajira bure katika kipindi hiki ambacho nchi inapambana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kupitia kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wake, Reshma Bharmal-Shariff ilieleza kuwa kampeni hiyo inalenga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani