Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. BALOZI BATILDA S. BURIAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MPYA WA TAASISI YA “SHELTER AFRIQUE”, NAIROBI.

Kutoka kulia ni Mhe. Balozi Dr. Batilda S. Burian akifanya mazungumzo ofisini kwake na Mkurugenzi Mkuu Mpya wa taasisi ya  Shelter Afrique  Bw. James Mugerwa(Katikati) ambaye aliambatana na afisa wake  Bw. Vipya Harawa(Kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa masuala ya ushirikiano katika taasisi hiyo.
=======  =======  ======= =======
Bw. James Mugerwa, Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Taasisi ya Shelter Afrique  yenye makao yake makuu hapa jijini  Nairobi alimtembelea  Mhe. Balozi Batilda ofisini kwake  kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA VIETNAM


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki BaloziCol. Wilbert A. Ibuge katikati akimkaribisha Balozi wa Vietnam chini Mhe.Nguyen Kim Doanh katika ofisi za Wizara Jijini Dodoma alipofika kuitikia wito wa Katibu Mkuu kulia ni KaimuMkurugenzi anayeshughulikianchi za Asia na AustralasiaBw. Ceasar Waitara.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki BaloziCol. Wilbert A. Ibuge (kulia) akizungumza na Balozi wa Vietnam chini Mhe.Nguyen Kim Doanh...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo  jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Kimataifa wa taasisi hiyo Bwana. Philip Feytons. Balozi Kamala amekutana na viongozi hao leo hii Brussels kuwaomba wahimize makampuni ya Brussels kushiriki ziara ya kibiashara inayoandaliwa kufanyanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA PAKISTAN


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akisalimiana na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara jijini Dodoma. Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ya kudumisha na kukuza uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia)  akifafanua jambo kwa Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia)  akibadilishana kadi za mawasiliano na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NERTHERLAND KUHUSU UTALII


 Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania Jeroen Verheul (kushoto) leo jijini Dar es salaam kuhusu utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Netherland wakati huu wa janga la Corona. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia)...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Kulia ni ofisa wa ubalozi Philippe Boncour.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, ofisini kwake Migombani.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, akisisitiza jambo wakati...

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Ndugai akutana na Mkurugenzi mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya kidemokrasia na utawala bora (The international Republican Institute).

 Mkurugenzii Mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya kidemokrasia na utawala bora (The international Republican Institute) Bi. Robina Namusisi akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembea Ofisini kwake Dar es Salaam leo kuelezea mipango ya taasisi yake inayokusudia kushirikiliana na Bunge katika kutoa mafunzo ya kidemokrasia kwa Wabunge vijana na wanawake. Mkurugenzii Mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya kidemokrasia na utawala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani