BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA YA BRUSSELS
Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Kimataifa wa taasisi hiyo Bwana. Philip Feytons. Balozi Kamala amekutana na viongozi hao leo hii Brussels kuwaomba wahimize makampuni ya Brussels kushiriki ziara ya kibiashara inayoandaliwa kufanyanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka huu.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo.
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA WA SERIKALI YA BRUSSELS
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi kitabu kinachobainisha fursa za uwekezaji Tanzania Waziri wa uchumi na biashara wa serikali ya Brussels Mhe. Didier Gosuin. Balozi Kamala amekutana na waziri Gosuin ofisini kwake Brussels leo.
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MENEJA WA UWEKEZAJI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA WALLONIA YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Uwekezaji wa Taasisi ya Uwekezaji ya Wallonia ya Ubelgiji Bi. Dominique Badot baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya Ziara ya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji inayopangwa kufanyika Tanzania mwaka huu.
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji itakayofanyika Tanzania, Novemba mwaka huu.
10 years ago
Michuzibalozi kamala akutana na katibu mkuu wa taasisi ya kusambaza umeme vijijini na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji
Balozi wa Tanzania Ubelgji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kusambaza Umeme Vijijini katika nchi zinazoendelea Bwana. Marcus Wieman (katika). Bwana Wieman alikutana na Balozi Kamala leo Brussels kumweleza mipango ya taasisi yake ya kusambaza umeme vijijini katika nchi zinazoendelea.Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la...
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA BRUSSELS AIRLINE
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa kampuni ya Brussels Airline Mhe. David Lyssens (kulia) baada ya kumaliza kikao naye ofisini kwake Brussels. Kushoto ni Bwana Geoffrey Kabakaki Mchumi Mhandamizi Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala ameiomba kampuni hiyo kuingia kwenye biashara ya usafiri wa anga Tanzania.
10 years ago
VijimamboBALOZI KAMALA ABAINISHA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI ZINAZIPATIKANA TANZANIA
Balozi wa Tanzania Ubelegiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akibainisha fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji linalofanyika Genval Ubeligiji.
10 years ago
MichuziMHE. BALOZI BATILDA S. BURIAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MPYA WA TAASISI YA “SHELTER AFRIQUE”, NAIROBI.
Kutoka kulia ni Mhe. Balozi Dr. Batilda S. Burian akifanya mazungumzo ofisini kwake na Mkurugenzi Mkuu Mpya wa taasisi ya Shelter Afrique Bw. James Mugerwa(Katikati) ambaye aliambatana na afisa wake Bw. Vipya Harawa(Kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa masuala ya ushirikiano katika taasisi hiyo.
======= ======= ======= =======
Bw. James Mugerwa, Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Taasisi ya Shelter Afrique yenye makao yake makuu hapa jijini Nairobi alimtembelea Mhe. Balozi Batilda ofisini kwake kwa...
======= ======= ======= =======
Bw. James Mugerwa, Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Taasisi ya Shelter Afrique yenye makao yake makuu hapa jijini Nairobi alimtembelea Mhe. Balozi Batilda ofisini kwake kwa...
11 years ago
MichuziMKURUGENZI WA SEKRETARIETI YA DUNIA YA NISHATI AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Mkurugenzi wa Sekretarieti ya Dunia ya Nishati Bwana. Steivan Defilla (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) baada ya kumaliza kikao ofisini kwake. Kulia ni Bwana. Nodal Tayel Mratibu wa Taasisi hiyo. Ujumbe huo ulifika Ubalozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya, Brussels kueleza faida za nchi kuwa mwanachama wa Taasisi ya Nishati Duniani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania