Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom


Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Pata habari za klabu ya Simba’ ambayo itawawezesha wateja wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata habari zinazohusiana na klabu ya Simba popote watakapokuwa hapa nchini.
Kampuni nyingine shirika katika kufanikisha huduma hii ni Premier mobile solution na EAG Group.Huduma hii mpya ya ‘Pata habari za klabu ya Simba’ni rahisi na ya ufanisi mkubwa kuwawezesha wateja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO KIGANJANI, Kutokupoteza muda mwingi kutafuta habari kupitia namba 15778 Vodacom Tanzania

Meneja Uhusiano wa Umma wa
 Vodacom Tanzania,Matina NkurluWadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla   wanaendelea kupata habari za soka  zinazohusiana na   ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(VPL)Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi yanayohusiana ya burudani kupitia simu zao za mkononi kupitia huduma  maalum iliyozinduliwa mwaka juzi.Katika huduma hiyo ambayo inawafanya wateja kupata burudani ili kupata  taarifa  hizo za michezo na burudani anachotakiwa kufanya mteja...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yatoa hamasa kwa vijana kuijua Teknolojia ya Habari kupitia mradi wa Code Like A Girl



Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumza  jijini Dar Es Salaam  na vijana wakati wa kufunga mafunzo ya ICT kupitia mradi maalum wa Code Like A Girl unaowezesha vijana kujua teknolojia ya habari na kuwahimiza kutumia vyema ujuzi huo ili kumudu ushindani uliopo kwenye soko la ajira.Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

Vijimambo

Pata Filamu ya Mdundiko kupitia Mtandao.

Katika maisha tunayoishi duniani sio vizuri kufanyiana mabaya, Kwani hujui kesho itakuaje. Malipo ni hapahapa Duniani . Fuatilia hii kupitia mtandao .......
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Fedheha au Knunua na iwe yako kupitia mtandao.
Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii
http://www.proinpromotions.co.tz
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo

 

11 years ago

Ykileo

KUPERUZI KUPITIA WI-FI NI HATARI ZAIDI KIUSALAMA MTANDAO

“Pale mtumia mtandao anapotumia Wi-Fi ilikupata intaneti anajiweka katika hali tativu  kiusalama mtandao zaidi ya Yule anae tumia mtandao unaotumia nyaya za intaneti – Kwa lugha ya kingereza, wireless LAN is more vulnerable to cyber-attacks compare to wired LAN” – Yusuph Kileo.


Haya niliyabainisha wakati nazungumzia changamoto mbali mbali tunazokumbana nazo za kiusalama mtandao kupitia matumizi yasiyo salama ya Wi-Fi yanayo endelea kushika kasi kaika maeneo mbali mbali hivi...

 

10 years ago

Mwananchi

Maisha yalivyo rahisi kupitia biashara ya mtandao

Watu wengi hawajui kuwa kupitia simu yako ya mkononi, tabiti, au kompyuta yenye mtandao, unaweza kununua bidhaa zako na kuzipata kwa muda mfupi mlangoni kwako.

 

10 years ago

GPL

MABINGWA WA DANCE 100%WAUNGANISHWA NA MTANDAO WA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akiwakabidhi rasmi vijana wa kundi la”WAKALI SISI”la kiwalani jijini Dar es Salaam simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka,ambazo ni moja kati ya zawadi walizojishindia  katika fainali za shindano la Dance 100% hivi karibuni na kujishindia kitita cha  Tsh Milioni 5 na simu hizo zimeunganishwa na mtandao wa Vodacom Tanzania  muda wa maongezi...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom kusaidia sekta ya Elimu kupitia TEHAMA

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (katikati) akielezea namna Vodacom walivyojidhatiti kuhakikisha TEHAMA inasaidia sekta ya elimu kupitia mtandao wa Vodacom kwenye kongamano la wadau wa Elimu lililoenda sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Ubunifu nchini.   Kulia ni Mwalimu wa Tehama kutoka shule ya msingi Mafinga mkoani Iringa, Apia Lugenge na Mshauri toka UNESCO, Basilina Levira.Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Jangwani, Charity Luckson akichangia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani